Kiranga bado unaamini uchawi haupo?

We jamaa bwana kwamba mtu akipaka masizi akaenda kulala kwenye paa la nyumba ndio uchawi??
Aisee embu ficha ujinga wako
Hivi ulipewa ule ubunge wa viti maalumu au?,una akili sana madam,sijui utakuwa mke wa nani wewe
 
mimi nataka niulize tu, mpiga picha alikaa wapi wakati amechukua iyo picha? na walijuaje kama hapo juu kuna mlonzi/mchawi mweusi?
 
Tangazo la biashara kwa huyo mchungaji....
Mana naona mama alimtaja mchungaji.

Mjini hapa
Na hapo ndio juu ya paa la mchungaji mwenyewe. Alimpiga picha kwanza halafu akampa Kanga za kujisitiri nakuita majirani.

Tatizo alichanganya oil na masizi hadi ikawa too much!
 
Sijui nani mjinga zaidi huyo mama na mchungaji wake au nyie mnaoamini hizi story.

Nitaamini uchawi upo siku nikiona kwa macho yangu mtu anatua/kupaa kwa ungo sio story za kuambiwa mtu akiwa chini tayari mnadai kaanguka. Hapo Ilula hakuna hata mmoja aliyeshuhudia huyo mama akipaa wote wamemkuta kashawekwa hapo na huyo mchungaji wake ili wajinga muingie kingi.

Ni ujinga kuamini kila mtu kalelewa kwa miiko ya dini fulani na ni ujinga zaidi kudhani kila mtu anapeleka watoto wake makanisani/misikitini.

Namjua Dr mmoja Mbeya miaka ya zamani alikua atheist na alikua hataki kabisa watoto wake wajihusishe na anything religious.

Watu siku hizi wanachomwa bado unaongelea habari za kuzikwa kidini. Hata manispaa inaweza kukuzika fresh tu

Miafrika amkeni achaneni na hizi story za kusadikika.
 
Kuamini au kutoamini ni uamuzi wa mtu,hata ikitokea umuone mtu kwa macho yako akipaa na ungo bado unao uamuzi wa kuamini uchawi kwa tukio hilo au pia ukakataa kuamini na ndiyo maana hata haya mambo ya mazingaombwe pamoja na mtu kuona kabisa vinafanyika vitu sio vya kawaida ila unakuta mtu anapinga si uchawi akiamini ni tricks tu japo hajui ni tricks zipi anaona bora aamini tu ni tricks kuliko kutoa nafasi ya kuamini uwepo wa uchawi.
 
Hata kama ni mchongo ila uchawi upo zaidi ya asilimia 100 . Ukinipa ule mtwangio wa kutwangia kisamvu, na aina fulani ya majani, ukiuruka kiaina dakika sifuri upo Ulaya
 
Kuamini au kutoamini ni uamuzi wa mtu,hata ikitokea umuone mtu kwa macho yako akipaa na ungo bado unao uamuzi wa kuamini uchawi kwa tukio hilo au pia ukakataa kuamini na ndiyo maana hata haya mambo ya mazingaombwe pamoja na mtu kuona kabisa vinafanyika vitu sio vya kawaida ila unakuta mtu anapinga si uchawi akiamini ni tricks tu japo hajui ni tricks zipi anaona bora aamini tu ni tricks kuliko kutoa nafasi ya kuamini uwepo wa uchawi.

Haiwezekani mtu kupaa kwa ungo. Habari zote za kupaa na ungo ni habari za hearsay wote huwa wanakutwa wakiwa chini wanadai wamenguka ila hakuna mtu popote pale amewahi kuona mtu anapaa. Story za uchawi ni story za kusadikika tu
 
Kwanini unasema haiwezekani kwani umeshawahi kufanya majaribio ya kupaa kwa ungo ikawa inashindikana? kama hujafanya hivyo basi na wewe utakuwa unaongea jambo ambalo hujafanyia utafiti hivyo unaongea kihisia tu,jaribu njia zote zinazodaiwa zinafanya uweze kuwaona hao wachawi ikiwezekana jaribu hata kutafuta huo uchawi wa kuweza kupaa kwa ungo kisha ndio uje hapa na sio kutupa majibu yako bila utafiti wowote.
 
Mimi natafuta mchawi aniloge.
Kama wewe unajua wapi yuko mchawi, mganga wa kienyeji, shehe, au mchungaji, basi mlete aniloge.
Nitalipa millioni moja kwa atakaye fanikiwa kuniloga (mazungumzo yapo).
Kama mchawi kaletwa na dalali, basi dalali atachukua 30% na mchawi 70%.

Masharti:
1. Mchawi aseme wazi atakacho niloga, siku na saa ya kuniloga?
2.Tokeo liwe la wazi/hadharani ili ushahidi uwepo
3. Anaruhusiwa kuniloga chochote bali asininyweshe dawa (huo si uchawi)
4. Asiniue (kwa maana sitoweza kumlipa)

Nitumie private message kama uko serious. Naishi Dar es Salaam.
 
Hivi huoni aibu kwa upuuzi na ujinga uliouandika, Mimi naona aibu.

Anyway hapo hakuna uchawi wowote Ni dili tu walipanga na mchungaji.
siku mtu atapitisha kidole makalioni mwako badala uwe mkali utaona aibu,punguza aibu mkuu
 
Back
Top Bottom