Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Ananyang'anywa gari mara moja.
Anasukumiziwa katika usafiri wa umma.
Hapana, RC anampa gari nyingine. Au Mara nyingi anasafiri kwa ndege kwa ajili ya usalama wake. Gari ya uwaziri anakabidhi kwa RC wa mkoa aliopo.Ananyang'anywa gari mara moja.
Anasukumiziwa katika usafiri wa umma.
Je ni kwa nini asiendelee kutumia gari ya waziri mpaka pale watakapo kabidhiana ofisi?Hapana, RC anampa gari nyingine. Au Mara nyingi anasafiri kwa ndege kwa ajili ya usalama wake. Gari ya uwaziri anakabidhi kwa RC wa mkoa aliopo.
hupanda gari yoyote kama abiria wa kawaida Dereva hupeleka gari wizarani kwa majukumu mengine huku ikiwa na plate number nyingine . huwa tayari kwa ajiri ya kwenda kukabidhi ofisi mda wowote na vilevile plate namba za gari hubadilishwa wakati huohuo!Mfano Waziri yupo kwenye ziara ya kikazi Mkoa fulani ( siyo nyumbani wala Dsm /Dodoma), akatenguliwa ghafla , ni mambo gani hutokea ?
1. Kubadilishiwa gari ?
2. Plate Number ya Uwaziri kutolewa ?
3. Ulinzi hutolewa ?
4. Ananyimwa Mamlaka hata kabla ya mwingine kuapishwa ?
5. Anasitisha ziara ?
6. Ananyimwa posho na marupurupu ?
Jamaa inasemekana alionekana akirandaranda ktk ofisi za bodi ya kahawa mjini Moshi akitanua mabega kumbe ashatumbuliwa hana habari watu wanaoambatana nae wanatafuta namna ya kumshtua hawapati!!
Lwenge alinyang'anywa gari barabarani akiwa huko kwake Igwechanya Mkoa wa Njombe.. Cheo ni dhamanaHapana, RC anampa gari nyingine. Au Mara nyingi anasafiri kwa ndege kwa ajili ya usalama wake. Gari ya uwaziri anakabidhi kwa RC wa mkoa aliopo.
Kumbe ulikuwepo kule Kigoma kwenye wale watumishiNakumbuka ya Mwigulu..
alikuwa anasindikizwa kama waziri ziarani..
Ghafla mnoko mmoja akaona barua ya utumbuaji mtandaoni..
..wacha jamaa aropoke kikaoni..
"WA NDUGU, KESHATUMBURIWA HUYO TUONDOKENI"