Kippi Warioba jiheshimu

Mbona hazijafika sehemu nyingine ni watu wa kawe tuu..khaa unatupa kadi ya mtandao aliotumia kulee tunaendelea..
 
watu wengine ni washamba ila hawajijui kua ni washamba
 
Acheni ushabiki,
Hizo data zinaweza kupatikana kutoka tume tu. Mtu mwenye access na database amefanya hivi; select;from; group by:katika database ya tume ili aweze kupata waliojiandikisha kupiga kura kawe. Ndio maana hata kama kwa sasa huishi kawe lakini ulijiandikisha katika hilo jimbo utapata msg. In abig picture huyo aliefanya hivyo pia ana uwezo wa ku add,insert,delete, modify hizo data informations katika database. NI HATARI SANA.
 
Pelekeni shauri mahakamani,mumfunge! Mjinga sana huyu.
 
Mbona hazijafika sehemu nyingine ni watu wa kawe tuu..khaa unatupa kadi ya mtandao aliotumia kulee tunaendelea..

Na wote waliozipata şi kwamba wanakaa Kawe ali wakati wanazipokea walikuwa Kawe.Hili nyie watu wa UKAWA inaonekana mna maarifa madogo sana ya mambo mpaka mnatia aibu!
 
Kippi na magamba wote mafala tu,hzo sms znatoka kwa mtandao husika wamepewa mkwanja ni upuuz kwan wote tulio kawe tunamtaka kappi..?na katoa wap namba zetu kwa sheria ipi...?halafu mak**#ma wengine eti oooh si udelete issue sio ku delete issue ni kuwa asitume msg apande jukwaan wanaotaka kuja waje ***** zake
 
".....walafi wa madaraka,namlipiga .....,alipowaletea rasimu- Roma mlutherani
 
Huyo boya msimchague kabisa chagua ukawa.ameshaaanza kuvunja sheria kabla ya kupiga kura.tume haiwezi kukemea kwa sababu ndo wametoa NAMBA za simu za watu.shame on them!!!!!!
 
Pelekeni shauri mahakamani,mumfunge! Mjinga sana huyu.

Hapana hili sio jambo la kupeleka mahakamani. Hapa ni kumwita Paulo Makonda DC wa Kinondoni amzabe makofi kama alivyomzaba baba yake Mzee Warioba. Kama alimchapa aliyekuwa Waziri mkuu atashindwa kumzaba mgombea Ubunge?
 
Last edited by a moderator:

Mbona mimi mpiga kura na nimejiandikisha Nanjilinji na sijatumiwa huo ujumbe?
 
hizi pumba zenu mmezitoa wapi vijana?????? Jaribuni kuongea mambo ya msingi, kama hutaki kumpigia kura nini kina kukera???? Chukua times zako ukafanye maamuzi upendayo, sio kubweka hapa?????

Kwanini awatumie wakazi wa kawe tu,namba zao kazipata wapi?
 
Hii sms hata mimi nimeipata kama wenzangu na alinitumia,nikiwa kwenye shughuli zangu za maisha. Nimemsamehe ila asirudie tena maana binafsi yeye ni adui wa maendeleo maana yuko ccm. Siitaji mtu yeyote wa ccm anitumie sms. Ingekuwa ya halima mdee ningefarijika sana.
Kippi huwezi pata ubunge kawe na warioba kuna siku dhambi ya kusaliti maoni ya wananchi itamhukumu.
Kippi usirudie tena ulichofanya hasa kwenye simu yangu.
Naomba kuwakilisha
 
Binsfsi nafurahi kupata ujumbe toka kwa kippi Warioba , naamini sisi wanakawe atatufaa sana na sio porojo za huyo jike dume wa chadema

Safii sana kippi Warioba
Safiii sana Dr Magufuli
Safiii sana madiwan CCM

CCM oyee
 
unabajati nimeokpka majuzi
 
Nadhan pia utakuwa una matatizo hivi unadhan tume ndo huwa inatoa namba za watu? je wewe una umhimu gani kwa tume mpaka wawe na namba yako au ndo kuchanganyikiwa huko acha kuwa na akili ndogo

Tumia akili kufikiri. Kwenye kujiadikisha lazima uweke nambako ya cm. Zoezi lakujiandikisha nilatume. Kipi anapataje namba zawapiga kura wakawe? Mbona hawatumii wasegerea au mbagala.
 



Cha ajabu ni nini, mtu kukuomba kura kwa njia ya sms unaona hajiheshimu, au kujua namba yako ya simu bila wewe kumpa ni kosa. Je angekutumia elfu kumi kwa tigo pesa au m pesa ungeleta huu uzi hapa? kwanza kuomba kura si lazima umpe. acha kufikiri kwa kutumia masa..buri.
 
Ingekuwa Tanzania nzima tunapata hizo msgs hapo sawa, lakini swali ni kivipi wamepata namba ya mpiga kura specifically wa eneo hilo. Mbona sie wengine hatupati hizo messages? Hapo kunatakiwa maelezo.

Kuwa profile watu kwa location ni rahisi sana kwenye digital world. Mfano ukichukua mnara unaotumika mara kwa mara na mtu hasa wakati wa usiku. Ni rahisi kujua huyo mtu analala hapo na pengine anaishi hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…