mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,191
- 19,117
Ongea na mobile operator wako. Masharti ulioyo sign wakati unachukua simu yanaruhusu matangazo. Hata wewe ukitaka peleka tangazo lako, walipe wanalisukuma tu. Mimi nimejiandikisha kinondoni lakini nimepata pia. Na ni ujumbe mzuri of course, jione mwenye bahati kupata ujumbe huu.
january Makamba ndio muanzilishi wa huu ushenzi huku akiwa naibu waziri wa Wizara ya Mawasiliano na uhuni,ndio huyu huyu na Makame walioleta sheria ya Mitandao!!
Cha ajabu yeye Kigwangallah na Mwigulu Nchemba ndio wameandaliwa na Kikwete!!
january makamba ndio muanzilishi wa huu ushenzi huku akiwa naibu waziri wa wizara ya mawasiliano na uhuni,ndio huyu huyu na makame walioleta sheria ya mitandao!!
Cha ajabu yeye kigwangallah na mwigulu nchemba ndio wameandaliwa na kikwete!!
mi pia nilipata sms ya kippi.......lol hata ya edo
january Makamba ndio muanzilishi wa huu ushenzi huku akiwa naibu waziri wa Wizara ya Mawasiliano na uhuni,ndio huyu huyu na Makame walioleta sheria ya Mitandao!!
Cha ajabu yeye Kigwangallah na Mwigulu Nchemba ndio wameandaliwa na Kikwete!!
hakuna dawa nyingine zaidi ya kuwaburuza kwa pilato hao wajinga
Hilo siyo tangazo huo ni ujumbe mfupi. wewe na kippi ni wapumbavu kwa mujibu wa mkapa viwanja vya jangwani,
hizi pumba zenu mmezitoa wapi vijana?????? Jaribuni kuongea mambo ya msingi, kama hutaki kumpigia kura nini kina kukera???? Chukua times zako ukafanye maamuzi upendayo, sio kubweka hapa?????
kwa kutumia sheria gani nyie vilaza wa kawe, hivi mnaifaham sheria vyema.?????? Lazma uwe na grounds za kutumia kwenye kupeleka mashtaka yenu?????????? Punguani kwelikweli.........
ni kweli mwanzilishi wa ujinga huu alikuwa naibu waziri wa mawasiliano january makamba wakati akisaka kura za maoni, nafikiri ndiye kamtonya kippi mpango mzima.
kwa kutumia sheria gani nyie vilaza wa kawe, hivi mnaifaham sheria vyema.?????? Lazma uwe na grounds za kutumia kwenye kupeleka mashtaka yenu?????????? Punguani kwelikweli.........
Ni kweli mwanzilishi wa ujinga huu alikuwa naibu waziri wa mawasiliano January Makamba wakati akisaka kura za maoni, nafikiri ndiye kamtonya Kippi mpango mzima.
Unaweza kuwa na akili kumbe zikawa hazikusaidi kitu kichwani unamjua kippi warioba vizuri au unapapatia patika tuu kuwa positive unapo post na si kuwa negative minded una be forced na watu bila matakwa yako kuwa mujarabu
View attachment 293758hii ni moja za sms ambayo amenitumia muda huu.
Nasema akome. Anachotakiwa kukifanya kwasasa ni kuandaa mawakili wa kumtetea dingi wake pindi ukawa ikiingia madarakani juu ya wizi wake kupitia kampuni ya meremeta. Asidhani watanzania ni mazuzu na kwamba tunasahau kirahisi kihivyo!