Marafiki wawili,kipofu na Kiziwi walikuwa na Maongezi kama ifuatavyo.Kipofu akamwambia mwenzie(Kiziwi) kwa ishara;"Jana nilichelewa sana kurudi nyumbani,wife alinibwatukia sana,ili kuepukana na makelele yake nikaamua kuvaa headphones nikaanza kusikiliza muziki kwa sauti kubwa".Kiziwi nae akamwambia kipofu;"Mi mwenyewe jana wife alibwata kweli,ili kuepukana na kero ya kubwata kwake nikaamua kuzima taa!".