Kipochi manyoya chaitwa tumbili sasa

Kipochi manyoya chaitwa tumbili sasa

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,481
Reaction score
1,450
Msichana mwenye umri wa miaka 11 aligundua kwamba alikuwa ameanza kuota nywele kati ya miguu yake, akawa na wasiwasi na kumuuliza Mama yake kuhusu nywele hizo. Mama yake akamwambia kwa utulivu, "Sehemu hiyo ambayo nywele zimeota inaitwa Tumbili, jivunie kwa kuwa Tumbili wako ameota nywele.
Asubuhi iliyofuata wakati wa kifungua kinywa alimwambia dada yake. " dada Tumbili wangu ameota nywele"
dada yake alitabasamu na kusema hujanizidi , wangu tayari anakula ndizi." Mama yake akazimia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom