Kipindi unaanzisha biashara hali ilikuwaje?

xavieen

Senior Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
140
Reaction score
561
Wakuu habari,

Katika vitu vigumu katika biashara ni kufanya biashara uizoee na ikuzoee, pia ukiona biashara yako imesimama vizuri sana nina imani ni baada ya kipindi kirefu kupita

Katika biashara wengi huwa tunawahi kukata tamaa kwa kuwa tunaingia tukiwa na matarajio makubwa.

Walio wengi tunafeli biashara kwa sababu tunaendesha biashara kiamazoea.

Nimefungua duka juzi juzi kwa mtaji wa m3 ila tatizo wateja wanakuja wachache sana na location ipo sehemu nzuri tuu.

Siku ya kwanza niliuza tsh 1500
Siku ya pili 5000
Siku ya tatu 3800
Siku ya nne 11000
Siku ya tano 18000
Siku ya sita 4900
Siku ya saba (sikufungua)
Siku ya nane (sikufungua)
Jana nimefungua nimeuza 15000

Kabla sijaanza niliambiwa kwa siku 70k-100k itakuwa ni ya kufikia.

KWA UPANDE WAKO WAKATI UNANZISHA BIASHARA HALI ILIKUWAJE ULIENDELEA AU ULIFUNGA.
 
Tegemea changamoto zaidi ya hizo mkuu..nina ngozi ngumu balaa nw..usikate tamaa all the best
 
Mpaka nimeona huu uzi saa 7 hii usiku ni jambo hili hili ndio limenikoseha usingizi,

Nimetega eneo flani la njiani lakini pia karibu na Chuo, sina shaka nalo
Ndio naanza inshu ni wateja.

Kiukweli waweza urudishe mpira kwa kipa kama huna uzoefu, kinachonifanya niendelee :

Sikua nimejiwekea matarajio makubwa,
Nilijipanga kwa kulipa kodi ya mda mrefu ili hata mambo yakigeuka yasifike mpaka kwenye kodi,
Kwa uzoefu na kumbukumbu ya kua biashara yamwanzo ilianza hivi hivi baadae ikasimama.
Kuna siku 2 tofauti Dogo Aliuza Mauzo yaliziba ma gap yote ya nyuma,
Kila Nikifunga wateja wanasumbua.

Sasa usiombee kama hivyo unavyosema, wateja hakuna halafu Huyo anaekuja naye anaishia kuulizia.
Bora duka la bidhaa za chakula, mteja anaingia anajua bei na ana uhitaji wa lazima, maduka ya dizaini hii window shopping ni kwa kiasi kidogo sana.

Sasa njoo kwenye vitu kama Hardware, Nguo, Cosmetics, Decorations, Ferniture n.k ambazo Akili na Moyo vinapishana
Mteja anashika nguo unamtajia bei, Moyo nao unamnong'oneza "hapo unapata bia 8"

Hii ndio shida ya biashara ya bidhaa tofauti na ya huduma mfano,
Sio rahisi mtu kuingia hoterini, Stationary, Kwa wakala, Saluni, halafu atoke kavu, ni huduma ambazo anazifuata kwa lazima na pia hakunaga bargaining ya bei kwa hio mteja akibisha tu hodi unahesabu kichwa.
Lakini huku kwingine mteja kuingia na kununua ni vitu viwili tofauti.

Sasa usiombee hio biashara umeifungua kwa mkopo, Kodi inakaribia, TRA wanarandaranda nje, hapo hujagusa jinsi ya kuendesha maisha, dharura n.k
Unaweza umwambie nisikuone hapa.
 
Mteja anashika nguo unamtajia bei, Moyo nao unamnong'oneza "hapo unapata bia 15"

Hii ndio shida ya biashara ya bidhaa tofauti na ya huduma mfano,
Sio rahisi mtu kuingia hoterini, Stationary, Kwa wakala, Saluni, halafu atoke kavu, ni huduma ambazo anazifuata kwa lazima na pia hakunaga bargaining ya bei kwa hio mteja akibisha tu hodi unahesabu kichwa.
Lakini huku kwingine mteja kuingia na kununua ni vitu viwili tofauti.

Sasa usiombee hio biashara umeifungua kwa mkopo, Kodi inakaribia, TRA wanarandaranda nje, hapo hujagusa jinsi ya kuendesha maisha, dharura n.k
Unaweza umwambie nisikuone hapa.
Nilikua nasoma huku nacheka hahahh....yaan inahitaji wito sana aise
 
Biashara ni wito na muhimu zaidi ni kutokata tamaa, inatakiwa ufanye biashara unayoipenda na kuimudu pia, ili mambo yakienda mrama usipate simanzi.
 
Mpaka nimeona huu uzi saa 7 hii usiku ni jambo hili hili ndio limenikoseha usingizi,

Nimetega eneo flani la njiani lakini pia karibu na Chuo, sina shaka nalo
Ndio naanza inshu ni wateja.

Kiukweli waweza urudishe mpira kwa kipa kama huna uzoefu, kinachonifanya niendelee :

Sikua nimejiwekea matarajio makubwa,
Nilijipanga kwa kulipa kodi ya mda mrefu ili hata mambo yakigeuka yasifike mpaka kwenye kodi,
Kwa uzoefu na kumbukumbu ya kua biashara yamwanzo ilianza hivi hivi baadae ikasimama.
Kuna siku 2 tofauti Dogo Aliuza Mauzo yaliziba ma gap yote ya nyuma,
Kila Nikifunga wateja wanasumbua.

Sasa usiombee kama hivyo unavyosema, wateja hakuna halafu Huyo anaekuja naye anaishia kuulizia.
Bora duka la bidhaa za chakula, mteja anaingia anajua bei na ana uhitaji wa lazima, maduka ya dizaini hii window shopping ni kwa kiasi kidogo sana.

Sasa njoo kwenye vitu kama Hardware, Nguo, Cosmetics, Decorations, Ferniture n.k ambazo Akili na Moyo vinapishana
Mteja anashika nguo unamtajia bei, Moyo nao unamnong'oneza "hapo unapata bia 8"

Hii ndio shida ya biashara ya bidhaa tofauti na ya huduma mfano,
Sio rahisi mtu kuingia hoterini, Stationary, Kwa wakala, Saluni, halafu atoke kavu, ni huduma ambazo anazifuata kwa lazima na pia hakunaga bargaining ya bei kwa hio mteja akibisha tu hodi unahesabu kichwa.
Lakini huku kwingine mteja kuingia na kununua ni vitu viwili tofauti.

Sasa usiombee hio biashara umeifungua kwa mkopo, Kodi inakaribia, TRA wanarandaranda nje, hapo hujagusa jinsi ya kuendesha maisha, dharura n.k
Unaweza umwambie nisikuone hapa.
Mkuu hapo kwenye saluni achana napo aisee niliingiza mguu ilanimegundua siyo biashara rahisi ukiwa na roho ndogounarudisha mpira kwa kipa

Turudi kwenye mada ya jamaa.kiukweli biashara iwe ya bidhaa au huduma ni nzuri tu ikiwa kwa mwenzio ukiingia mwenyewe inabidi kujfunza kuhold ila pia kwenye kuhold kuwe na timeframe siyo unahold unakopa unahold unakopa,utakufa na presha

Jiwekee kipindi nadhani isizidi mwaka kwa biashara hizi za uchuuzi ukiona haurudishi running costs wala faida achana na hiyo biashara unakuwa mtumwa.

Mleta mada kama location ipo sawa bidhaa ni hitajika usikate tamaa pambana utafanikiwa...
kila la kheri
 
mkuu hapo kwenye saluni achana napo aisee niliingiza mguu ilanimegundua siyo biashara rahisi ukiwa na roho ndogounarudisha mpira kwa kipa

turudi kwenye mada ya jamaa.kiukweli biashara iwe ya bidhaa au huduma ni nzuri tu ikiwa kwa mwenzio ukiingia mwenyewe inabidi kujfunza kuhold ila pia kwenye kuhold kuwe na timeframe siyo unahold unakopa unahold unakopa,utakufa na presha

jiwekee kipindi nadhani isizidi mwaka kwa biashara hizi za uchuuzi ukiona haurudishi running costs wala faida achana na hiyo biashara unakuwa mtumwa.

mleta mada kama location ipo sawa bidhaa ni hitajika usikate tamaa pambana utafanikiwa...
kila la kheri
Na Kurudisha mpira kwa kipa sio kukata tamaa, ni uhalisia ya kua biashara uliyochagua hailipi katika mazingira hayo, lakini fanya hivyo ukiwa umijiridhisha ya kua imejitoshereza(hapa namaanisha kama ni bidhaa ziwe nyingi na options za kutosha kwa mteja), Uwe umejiridhisha na location kama sio shida, lakini pia umeshaipa mda wa kutosha huoni mabadiliko,
Kwa ufupi fanya hivyo endapo umeitendea haki lakini haileti kitu, Sio duka lina bidhaa mbili unataka wateja wajae, una mwezi mmoja unalalamika, duka lipo uchochoroni n.k
 
Yes this is what i meant
 
Mwanzo huwa mgumu aisee inatakiwa uchezeshe akili kisawa sawa lasivyo unafunga biashara.
 
Tulikubaliana na Bi Mkubwa wangu Duka la Dawa Muhimu tukakusanya mtaji ukagonga 1.5M pembeni ya mji ila population nzuri sana Mother mtaalamu mimi ni kwenye vi hela so ikaja joint venture ya namna hiyo.

Biashara inaanza mimi matumaini kibao Bi mkubwa anajua nature ya Biashara Mauzo kwa week mbili za kwanza yana trend kati ya 0-3500 TSH nilisema hapa tumeumia Kila wanachokuja kuuliza hatuna sisi tuna dawa ndogo ndogo.

Mother alikua ana record vyote tunakosa na utaalamu wake
Tukakusanya kama 1M hapa Biashara ilianza kuchanganya pia
Tukaongeza mzigo but marekebisho ya ofisi tunaenda mbele tunarudi nyuma.

Saa hizi sio hapa kwa week faida 150k-200k hukosi na mother anapambania me nilishatembea zangu ila maboresho hayaishi.

Biashara ina mwaka sasa.
 
Biashara ambayo marekebisho yake hayaishi juwa iyo biashara inakua.

Hongera mkuu.
 
Shukrani sana Mkuu mwanzo hadi nilikua nasema nini tena kimetokea
Shukrani kubwa kwa Mother yeye amekaa sana kwenye biashara za watu kama hizi anajua trend.

Alikaa kwa kutulia mwisho wa siku tunaona hata mwanga.
 
Back
Top Bottom