Tatizo nini mkuu?
Pole sana ndugu, yoyote unayopitia jua yuko Mungu alietuumba yeye ndie msaada wetu.nakushauri omba sana na usome vitabu vitakatifu matatizo yako yataisha!ipya wakati nipo kwenye magumu natafuta kila namna yakutoka mara limeibuka lingine kubwa zaidi yahaya ambayo tayari yanitesa mpaka najiuliza hivi inaweza tokea kwenye maisha mwaka mmoja tuu historia yako ikawa nyingine kabisa majanga majanga hadi naona nimeibeba dunia kichwani niende wapi nifanyenini nimeamini ukisikia kua uyaone ndio haya, "Eeee Mwenyezi Mungu n
Ukiwa tayari niambie maana funguoa ninayo mimileo siwezi kufunguka wacha nilie tuu hadi kesho nikiwa na nguvu nitafunguka
ipya wakati nipo kwenye magumu natafuta kila namna yakutoka mara limeibuka lingine kubwa zaidi yahaya ambayo tayari yanitesa mpaka najiuliza hivi inaweza tokea kwenye maisha mwaka mmoja tuu historia yako ikawa nyingine kabisa majanga majanga hadi naona nimeibeba dunia kichwani niende wapi nifanyenini nimeamini ukisikia kua uyaone ndio haya, "Eeee Mwenyezi Mungu n