Wananchi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi kigumu cha kukosa mwakilishi aliye makini bungeni katika kipndi cha mwaka 2010 kuelekea 2015. Mbunge aliyeingia kwa mbwembwe nyingi Halima Mdee amekuwa ni zigo lisilosaidia wapiga kura badala yake anajisaidia mwenyewe.
Tangu amechaguliwa:
1. Hapendi kuitisha mikutano ili kupata mawazo ya wananchi
2. Wananchi wa Madale waliopatwa na mashambulizi ya polisi wamekosa pole na msaada wake
3. Wakazi wa Majipwande wanamlilia kwa kutopata msaada wa mali na faraja toka kwake
4. Mfuko wa Jimbo haujatolewa maelelezo kwa wananchi
5. Kushindwa kutekeleza ahadi zake za kuinua kiuchumi vikundi vya vijana na wanawake
6. Kushindwa kutatua matatizo wanayoyapata vijana wa bodaboda na bajaji
Hizo ni kero chache ambazo zilitakiwa zifanyiwe kazi na mbunge wetu.
Kwa kweli wakazi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi tete tunamkumbuka RITA Mlaki ambaye alikuwa karibu na wapiga kura.
hapana mkuu ni bora ange kuwa anafanya hata mikutano ya hadhara jimboni mwake kama wenzake wanapotoka bungeni tu inasaidia sana kuepusha maneno kama haya
Mkubwa nashukuru sana kwa matusi yako lakini tulikuwa tuna ARGUE mimi na wewe sasa kuanza kutukana na kukashifu watu wote wa CHADEMA si vizuri. Mzee wetu Dr. SLAA anaingiaje tena hapa na kuanza kumkashifu? Tushindane kwa hoja hata kama mimi ni chizi na sina akili but twende kwa hoja,, ulitakiwa unijibu kwa hoja na si kuporomosha matusi. Kama nilikugusa sana usiwe na jazba na kama huwezi kwenda kwa hoja basi kaa kimya tu. Kukaa kimya nako ni dawa kaka. ALL IN ALL NASHUKURU SANA NIMEKUSAMEHE HUJUI USEMAYO BUT IKO SIKU UTAJUTIA. UBARIKIWE SANA MKUBWA. 😛eace:CHIZI UNAYEFIKIRIA KWA KUTUMIA MAKALIO.....SOMA VIZUR COMMENT NILIKUQOUTE...HOPELESS MKUBWA, NA MTABAKI HIVOHIVO WAPUUZI WAKUBWA MKIONGOZWA NA HILO LIZEE LISILO NA AKILI (SLAA), Hivi unafikiri kila anayeiponda chadema ni CCM?? hopeless namba moja wewe.....vyama havipo viwili tanzania....mijitu mingine sijui mna elimu ya madrasa na kujua kutype kidogo kwa kompyuta, ndo mnakuja humu kwa JF?? yani we chizi namba moja afrika na ulimwenguni kote.......walllah nawahakikishia, hadi chadema inakufa, haitokuja kushika madaraka ya urais, na hii ni kwasababu mumejaa watu msio na akili....
Ebu jiulize hiyo michango yake bungeni ndicho alichotumwa na wananchi wake kama kero zinazowakabili au ni kwa maslahi yake binafsi kisiasa? hatuongei mengi wana Kawe tutapiga msumari wa mwisho 2015 na akatatute viti maalum upareni.maendeleoya jimbo hayaletwi na mbuge jamani mnatakiwa nyie wana kawe mjipange na kuanzisha shuguli za kimaendeleo baadae msaada wa serikali ndio unafuata kwa kujenga shule hosipital na kadhalika ama sivyo mtakalia kubadilisha wabunge kila uchaguzi . halima mdee anafanya kadiri ya uwezo wake michango yake bungeni nayo huioni?
Mheshimiwa Jodoki Kalimilo,
Ni kweli kabisa kazi ya ubunge si ngumu sana kiasi cha kufanya tuwe na wabunge wengi kiasi hicho. Tungeweza kabisa kuwa na mbunge mmoja kwenye wilaya na akafanya kazi kwa ufanisi mkubwa. Kwa kushirikiana na madiwani wangeweza kabisa kujua yapi yanaishia kwenye baraza la madiwani na yapi yapelekwe bungeni... Lkaini kutoka na choyo na ulafi wa wanasiasa wameamua kwa makusudi kuibua nafasi kwa ajili ya wapambe wao ''wasio na kazi'' ili wapunguze njaa wasiwe na kelele wakati wao wanakula..
Kwa sababu tumewapa uwezo wa kutupangia mambo.....wao hutumia nafasi hiyo kujipendelea na kujipangia mapato makubwa......haiingii akilini katika nchi yenye uchumi kama wetu mmoja alipwe 315,000/= mwingine alipwe 13,000,000/= halafu useme kwamba unamuwakilisha..... pengo ni kubwa lililokithiri......hii si haki... Zipo wapi taasisi zinahusika na haki za binadamu?? hawalioni hili?? au wao hadi mtu ajeruhiwe au auwawe ndiyo waibuke?? hawajui chanzo chake?? au hili nalo linahitaji katiba mpya? Tutaokoa kiasi gani kama tukipunguza mapato ya wanasiasa (wabunge) kwa asilimia hata 75 na tukaiondoa mikopo ya magari ya anasa? Je fedha hii haitoshi kununulia vile vifaa vya kazi vinavyodaiwa na madaktari? Au hata kuwalipa walimu wanatufundishia watoto wetu (watoto wao hawasomi huku)?
Tufikie wakati wananchi tuseme hapana tumechoka kuwagharamia wanasiasa na hili linawezekana kupitia taasisi zisizo za kiserikali (NGO) zisizo na uhusiano na wanasiasa....
Ni afadhali na bora ww umesema, mie niliisha andika humu zaidi ya mara 10 ahadi na ulaghai wa HM kwa wananchi wa kawe, mpaka sasa hajafanya chochote, yeye ni kwenye kumbi za starehe tu ndio utamuona, halafu tukisema mnasema anaonewa. HM ni janga la sie wana kawe, nadhani katika katiba ijayo kuwe na kipengele cha mbunge akishindwa kazi basi , mtu mwingine atoke kwenye chama chake aje achukue hiyo nafasi. Mie sina shida eti kwa kuwa ametoka cdm , ila cdm next election wamlete mtu makini sio HM hawezi kitu
CHIZI UNAYEFIKIRIA KWA KUTUMIA MAKALIO.....SOMA VIZUR COMMENT NILIKUQOUTE...HOPELESS MKUBWA, NA MTABAKI HIVOHIVO WAPUUZI WAKUBWA MKIONGOZWA NA HILO LIZEE LISILO NA AKILI (SLAA), Hivi unafikiri kila anayeiponda chadema ni CCM?? hopeless namba moja wewe.....vyama havipo viwili tanzania....mijitu mingine sijui mna elimu ya madrasa na kujua kutype kidogo kwa kompyuta, ndo mnakuja humu kwa JF?? yani we chizi namba moja afrika na ulimwenguni kote.......walllah nawahakikishia, hadi chadema inakufa, haitokuja kushika madaraka ya urais, na hii ni kwasababu mumejaa watu msio na akili....
Wananchi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi kigumu cha kukosa mwakilishi aliye makini bungeni katika kipndi cha mwaka 2010 kuelekea 2015. Mbunge aliyeingia kwa mbwembwe nyingi Halima Mdee amekuwa ni zigo lisilosaidia wapiga kura badala yake anajisaidia mwenyewe.
Tangu amechaguliwa:
1. Hapendi kuitisha mikutano ili kupata mawazo ya wananchi
2. Wananchi wa Madale waliopatwa na mashambulizi ya polisi wamekosa pole na msaada wake
3. Wakazi wa Majipwande wanamlilia kwa kutopata msaada wa mali na faraja toka kwake
4. Mfuko wa Jimbo haujatolewa maelelezo kwa wananchi
5. Kushindwa kutekeleza ahadi zake za kuinua kiuchumi vikundi vya vijana na wanawake
6. Kushindwa kutatua matatizo wanayoyapata vijana wa bodaboda na bajaji
Hizo ni kero chache ambazo zilitakiwa zifanyiwe kazi na mbunge wetu.
Kwa kweli wakazi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi tete tunamkumbuka RITA Mlaki ambaye alikuwa karibu na wapiga kura.
Wananchi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi kigumu cha kukosa mwakilishi aliye makini bungeni katika kipndi cha mwaka 2010 kuelekea 2015. Mbunge aliyeingia kwa mbwembwe nyingi Halima Mdee amekuwa ni zigo lisilosaidia wapiga kura badala yake anajisaidia mwenyewe.
Tangu amechaguliwa:
1. Hapendi kuitisha mikutano ili kupata mawazo ya wananchi
2. Wananchi wa Madale waliopatwa na mashambulizi ya polisi wamekosa pole na msaada wake
3. Wakazi wa Majipwande wanamlilia kwa kutopata msaada wa mali na faraja toka kwake
4. Mfuko wa Jimbo haujatolewa maelelezo kwa wananchi
5. Kushindwa kutekeleza ahadi zake za kuinua kiuchumi vikundi vya vijana na wanawake
6. Kushindwa kutatua matatizo wanayoyapata vijana wa bodaboda na bajaji
Hizo ni kero chache ambazo zilitakiwa zifanyiwe kazi na mbunge wetu.
Kwa kweli wakazi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi tete tunamkumbuka RITA Mlaki ambaye alikuwa karibu na wapiga kura.
Wivu tu. Mnataka afanye nini ndio mjue anafanya. Mimi namkubali sana HM
pa kunyea pake....We kweli akili magamba!!!....unamuona Halima Mdee zigo lisilosaidia wapiga kura badala yake anajisaidia mwenyewe...lakini wakati huo huo humuoni DHAIFU alivyo zigo kwa wapiga kura na kujisaidia mwenyewe, mafisadi wenzake, wageni wanaojifanya wawekezaji na familia yake!!!! Ama kweli Nyani haoni......
kiswahili chake tu chaonesha la saba kamaliza kwa taabu.Mods wakulaze mahali pema peponi kwenye server zao.
jumapili iliyopita alikuwepo kule kwetu basihaya,maeneo yenye mgogoro wa ardhi kule chasimba.Huyu mleta hoja anaonekana kuwa anajambo na HALIMA siyo bure.kwa hiyo anataka kutuaminisha kuwa tangu mh amepata ubunge hajawahi kuwatembelea wapiga kura wake hata mara moja?.mbona kuna wengine wanakiri wazi kuwa mbunge wao anakutana nao.je ni kweli kwamba H hajatekeleza ahadi hata moja?.mbona mleta hoja alishawahi kuleta hoja ya lawama km hii lkn H alijitokeza humuhumu akaeleza yale aliyoyafanya na anayokusudia kuyafanya.kwa nini H asipongezwe hata kwa kile kidogo alichokifanya kuliko km hivi anavyo pakwa matope na MAFILILI nime kuwa na mashaka hata anapomuitakuwa ni mb wake naona ni wake kwa sababu anaishi jimboni kwake yeye hakumchaguwa alichaguliwa na wenzake yeye anamjua aliempa kura na ndiye anaemwandaa kuwa mb wake kwa kumpaka H matope iliaonekane hafai ili mb wake apate nafasi.kwanza kazi ya mb sikuwaletea maendeleo wananchi ni kuipelekea serekali matatizo ya wananchi na kuyatatua.hapo sasa km serekali siyo sikivu mb atabadilisha sori na sori lkn hamna kitu.