Huo ni ubaguzi..... Wewe kwani meupe looolllKipindi kizuri ni cha yule dada anaetangaza habari mzuri mweupe sijui anaitwa nani ni kazuri na kipindi pia cha habari akiwepo yeye huwa kinakuwa kizuri😎
Basi hata wewe ni mzuri ukitembea Kama unanesa kimadoido mpk huwa nahisi taarifa za korona ni uongo kwa mwendo wako tu😜Huo ni ubaguzi..... Wewe kwani meupe looolll
Hivi ile slogan yao ya TUNATEKELEZA haikuficha jambo kweli? Wanatekeleza maagizo kutoka juu.
Maswala ya mazishi mkuu rejea neno aridhio
Wanapima upepo tu hawa, eti huduma ya kahawa uifuate 10km [emoji15][emoji848] hakuna cha aridhio wala azimio... vipindi pendwa ni kishindo cha awamu na tunatekeleza.