Kipindi cha TBC aridhio wamejitahidi sana

Mkuu weka nyama kidogo kwenye maelezo hiki kipindi kinahusu nini - siasa, michezo au?
 
Leo mida ya jioni nimeondoka na jamaa angu kwenda kupata huduma sehemu umbali wa Kama km10 hivi na usafiri wetu ukiwa ni pikipiki. Kwa bahati mbaya baada ya kufika tu mwisho wa Safari yetu, mvua kubwa ikaanza kunyesha na kupelekea mafuriko makubwa. Ikabidi mwenyeji wetu atupe hifadhi maana njia haipitiki tena.

Akatupeleka kwa mzee wake tukamkuta mzee ameketi yupo makini kweli kweli akifuatilia tbc aridhio nasi tukaungana nae kutazama.kwa mtizamo wangu naona wamekuja vizuri na wameonesha creativity na utofauti Kama shirika la uma ila mzee baba Gabriel Zacharia alikuwa anazidisha mbwembwe mpaka anaharibu but so far wamekuja vizuri.

Ubora wa picha, uchambuzi na mtiririko wa maudhui some how wamejitahidi.Karibu kwa mwingine aliyekishuhudia kipindi hiki utupe mrejesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unahitaji moyo mgumu kama wa Al Shabaab kuangalia TBC. As long as hawawezi kukosa Serikali kama wakati wa Tido Muhando it remains to be trash, takataka tu
 
Gabriel Zacharia anakua hana utulivu,na yule dada wa habari za biashara aongeze umakini maana kusoma No kulikua kunampa shida,Citizen ya Kenya wangekua wanaangalia kujifunza zaidi.
 
Yaaap, nami Jana nilikuwa mubashara at home nacheck mapigo ya Ardhio, mpaka ile anaingia waziri mwenye dhamana.
Obvious wamejitahidi sana ila hebu nimpe jongera yake Gabriel Zachariah, Jamaa ni fundi kwa uchambuzi na maswali pia..
Tutegemee mazuri zaidi pindi tu maboresho zaidi yatakavyokamilika hapo majira ya kiangazi..
Nasikia TBC utakuwa kama BBC
Wafanyakazi wa TBC 1 utawajua tu!
 
Muanzjlishi wa mada ni mfanyakazi wa TBC halafu wameambizana waje washambulie uzi kwa mbwembwe

Eti tibisiiii

Watu tupo Azam tv unakutana na bwana Chaz na bibi ivona tibisiiii mkasome
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom