mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 955
kipindi cha mada moto channel ten kilikuwa kinaleta watu mahili na kujadili mustakabali wa nchi kwa hoja.sasa hivi naona sasa bora niangalie chei chei shangazi.mnaacha vitu vinavyotengeneza stori mnaenda kwenye vitu visivyo na mvuto.mapendekezo muite nape aje ajibu tulimchagua akalizime bunge live na msigwa.
Muite tundu lissu na mwenyekiti kamati ya maadili waje wajibu hoja ya kuwafungia wabunge wa upinzani .vinginevyo kama hakuna ajenda fungeni vipindi tu
Muite tundu lissu na mwenyekiti kamati ya maadili waje wajibu hoja ya kuwafungia wabunge wa upinzani .vinginevyo kama hakuna ajenda fungeni vipindi tu