Ushauri kwa kipindi cha Mada Moto - Channel Ten

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Mada moto chanel ten, ni kipindi kizuri sana kinachorushwa kila siku ya Jumatatu, Jumatano na Ijumaa, hiki kipinidi ni kipindi bora hasa wakati wa usiku.

Kipindi hiki kinaongelea sana mambo ya kijamii lakini napenda kukosoa makosa ya kipindi hiki cha mada moto cha channel ten.

Moja, siku hizi kinaalika watu wale wale.

Napendekeza wageni waalikwa wawe wanabadika kila wakati mfano Tundu Lissu,
Jonh Mnyika,Jonh Heche na wengine wengi waalikwe kwenye kipindi hiki kizuri.
 
mada moto chanel ten,ni kipindi kizuri sana kinachorushwa kila siku ya jumatatu jumatano na ijumaa,hiki kipinidi ni kipindi bora hasa wakati wa usiku, kipindi hiki kinaongelea sana mambo ya kijamii lkn napenda kukosoa makosa ya kipindi hiki cha mada moto cha chanel ten
moja sk hizi kinaalika uwatu wale wale
napendekeza wageni waalikwa wawe wanabadika kila wakati mafano tindu lisu
jonh mnyika
jonh heche na wengine wengi waalikwe kwenye kipindi hiki kizuri
 
Muda wake ni mfupi mno hasa ukizingatia tunakuwa tumepumzika tunahitaji kusikia yanayoendelea.
 
Nimeacha kabsa kuangalia steshen za Tv za kitanzani, Naangalia citizen tv, kenya televishen na nyingne za dunian, Bongo vituko na sanaa nying mno, yani sasa vituo vya watu binafc vimekuwa kama vya serekali
 
Kwanini hao?
Hujatoa sababu!
Au ndio mahaba!!
sio mahaba ni namna ya kukifanya kipindi kiwe na mvuto zaidi,unajua kuna baadhi ya watu wana kiki kwenye vyombo vya habari kwa sababu wanatete maslai ya wananchi
 
Kenya wako poa ile hatareee!! Yan watu wanafanya ibada kanisan, Ibada ikiisha siasa kama kawa humo humo church, apa bongo ukifanya ivo ujue Mchungaji ataundiwa zengwe
 
kipindi hiki napenda akiwepo renatus mkinga studio kama mgeni huyu mzee naongeaga ukweli tupu kama kuna kamba basi ni kidogo sana
 
Back
Top Bottom