Leo Saa 4 usiku kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Ally Hapi atakuwa live "Channel ten" kwenye kipindi maalum cha *MADA MOTO* kufafanua agizo la Mh. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa la kufuta posho zote zilizo nje ya utaratibu wa kisheria na zisizo na tija kwa halmashauri
*Usikose kufatilia kipindi hiki*
*Usikose kufatilia kipindi hiki*