Kipindi cha hakuna kulala kinapotosha jamii

Kipindi cha hakuna kulala kinapotosha jamii

James Kasonda

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
84
Reaction score
49
Kulingana na shirika linaloitwa BSS Corporate Psychology Services kutoka Australia, kulala usingizi masaa manane kila siku ni muhimu mno kwa afya ya mwanadamu. Utafiti wa muda mrefu unaonyesha kwamba watu wanaokosa usingizi mara kwa mara au wanaolala usingizi chini ya masaa matano kwa ukawaida wanakufa haraka!
Kwa hali hiyo kukesha usiku kucha ukitafuta laini ya kutuma salamu ni kuharibu afya yako. Utakufa mapema si kwa sababu Mungu kakupenda zaidi kuliko sisi bali kwa sababu ya kukosa usingizi!! Chukua hatua.
 
Back
Top Bottom