Kipindi cha Boys Boys ndani ya TV1

Kipindi cha Boys Boys ndani ya TV1

autorun255

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
1,105
Reaction score
364
TV1 inakuja kwa kasi
Nimependa kipindi chao kipya cha BOYS BOYS kinachoendeshwa na Mwisho Mwampamba.

Mpangilio wa studio, mada zao, host yuko charming , fun & on topic.

Wana min bar na vinywaji vya kweli sio mapambo kama vile vya FNL.

Idea ni nzuri.
 
Wengine tv ni kituo cha polisi, kielezee kidogo
 
Ni kipindi kilichoandaliwa vizuri kwa vijana.
Wanajadili masuala mbalimbali ya maisha.

Kifuatilie kila alhamis saa mbili usiku.
 
Tv1 ni inatangaza toka wapi? Inapatikana wapi? Ndio naskia leo
 
Hawaweki vipindi vyao youtube? Nahitaji ila siwezi kuona kwasasa
 
TV1 inakuja kwa kasi
Nimependa kipindi chao kipya cha BOYS BOYS kinachoendeshwa na Mwisho Mwampamba.

Mpangilio wa studio, mada zao, host yuko charming , fun & on topic.

Wana min bar na vinywaji vya kweli sio mapambo kama vile vya FNL.

Idea ni nzuri.

Hiyo TV1 inaonekana kupitia king'amuzi gani?
 
Tv1 ni inatangaza toka wapi? Inapatikana wapi? Ndio naskia leo

Wanatangaza kutoka dar, inapatikana kwny kisimbuzi cha startimes channel 103.

Sijui kuhusu visimbuzi vingine kama inapatikana.
 
Hv hii TV1 na Viasalat ya Ghana kna mwingilio gan? Coz vpnd vyake vnafanana kasoro hosts n tofaut coz hata Boys boys ipo kwny Viasalat pia
 
Ndo hao hao
Inamilikiwa na kampuni ya viasat 1 tanzania lts.
 
Tv1 ni inatangaza toka wapi? Inapatikana wapi? Ndio naskia leo
Ni sehemu ya mtandao wa mkubwa wa TV uitwao Viasat, inamilikiwa na Wanorway. Kwa hapa Tanzania hio TV1 inamilikiwa na wao. Ipo ktk visimbuzi vya Azam na Startimes kwa sasa.
 
Sawa wasalipa sana! Jina lako linahusiana na kile kijiji cha idimi kule Mbeya?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom