John Amigo
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 627
- 416
Kabisa yaani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeuliza swali na kujijibu mwenyewe.
Kipimo cha wema wako anaejua ni yule ambae unayemtendea huo wema na kama umetenda wema ambao ndani yake una hira (ukiritimba )usitarajie kulipwa fadhira kamwe .Usijivune umefanya mema wakati mema yako yana hira [emoji362]
Poa poaKabisa yaani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ChakulaKipimo cha wema wako anaejua ni yule ambae unayemtendea huo wema na kama umetenda wema ambao ndani yake una hira (ukiritimba )usitarajie kulipwa fadhira kamwe .Usijivune umefanya mema wakati mema yako yana hira [emoji362]
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Umeuliza swali na kujijibu mwenyewe.
Pangilia mkuu[emoji818][emoji818]Jibu ni sawa, tatizo essay hujapangilia vizuri.
YamekufikaKipimo cha wema wako anaejua ni yule ambae unayemtendea huo wema na kama umetenda wema ambao ndani yake una hira (ukiritimba )usitarajie kulipwa fadhira kamwe .Usijivune umefanya mema wakati mema yako yana hira [emoji362]
hila,fadhila.Kipimo cha wema wako anaejua ni yule ambae unayemtendea huo wema na kama umetenda wema ambao ndani yake una hira (ukiritimba )usitarajie kulipwa fadhira kamwe .Usijivune umefanya mema wakati mema yako yana hira [emoji362]
Tunasherehesha tuuUmeuliza swali na kujijibu mwenyewe.
Kuna watu mmepinda aiseeKipimo cha wema ni daimond yaani siku daimondi akimwambia rudi ccm ndio turudiane basi wema anavua gwanda.
kweli hajapangilia vizuri.. mgeni karibu sana hivi unapokaa kuna mbwa au kuna ulinzi wowote..?[emoji818][emoji818]Jibu ni sawa, tatizo essay hujapangilia vizuri.