Nashukur kwa ushauri NamnukuuNi vema akarudia kupima kwenye hospitali au kituo kingine cha afya ili kupata hakika vizuri. Hapo mashaka yataisha.
Kwan wewe ulikua unataka lipiHabarini za hasubuhi wana jf
Ninandugu yangu hana raha mpaka sasa kutokana na kipimo cha HIV
Alienda kupima HIV navile vipimo vya kawaida cha kwanza kili react lakini cha chapili kilikuwa kinasoma negative
Yaan haioneshi ku react sasa anawasiwasi na jibu sahii lakupokea nilipi
Positive or negative ??
Tafadhali kwa wataalamu naombeni ushauri wenu tuweze msaidia mpendwa huyu
Natanguliza shukraan.
awali ni awali hakuna awali mbovu, cha kwanza i mean,tayari una umeme wa gredi ya taifa,ishi kwa matumainiNashukur kwa ushauri Namnukuu
Nilienda hospital kama tatu Navipimo vilikuwa vile vile
Chakwanza kilikuwa kina react lkn chapili kina soma negative
Hivyo sijui ukweli niupi hapo??
labda wadudu ndo wanazaliana pima ile damu nyingi?Nashukur kwa ushauri Namnukuu
Nilienda hospital kama tatu Navipimo vilikuwa vile vile
Chakwanza kilikuwa kina react lkn chapili kina soma negative
Hivyo sijui ukweli niupi hapo??
bado hueleweki............ yaani ukienda unapimwa mara mbili ama nini? tafadhani andika kwa kirefu na kwa kiswahili sentensi zote....Ku react inaonesha positive yaaan kuna maambukizi lakn isipo fanya hivyo inakuwa negative maanayake hakuna maambukizi
Mkuu hii sio kauli nzuri kabisa. Kuna mambo unaweza kutumia kauli hizi za kilevi lakin sio kwa suala kama hili, kwani ukimjibu kiustarabu utapungukiwa nn? Sio vizuri ndugu.awali ni awali hakuna awali mbovu, cha kwanza i mean,tayari una umeme wa gredi ya taifa,ishi kwa matumaini
kwahiyo ukiandikiwa non-react inamaanisha niniKu react inaonesha positive yaaan kuna maambukizi lakn isipo fanya hivyo inakuwa negative maanayake hakuna maambukizi
kwa hiyo wewe tayari unamajibu yako cyo,umeleta tu mada hapa kutusanifu,au wewe unataka jibu gani uambiweMkuu hii sio kauli nzuri kabisa. Kuna mambo unaweza kutumia kauli hizi za kilevi lakin sio kwa suala kama hili, kwani ukimjibu kiustarabu utapungukiwa nn? Sio vizuri ndugu.
Wanadamu wanasahau wakiwa bado wanapumua wana safaris ndefu sanaa duniani hivyo sivyemaMkuu hii sio kauli nzuri kabisa. Kuna mambo unaweza kutumia kauli hizi za kilevi lakin sio kwa suala kama hili, kwani ukimjibu kiustarabu utapungukiwa nn? Sio vizuri ndugu.
Kwani yeye anapenda jibu lipi zaidi?Habarini za hasubuhi wana jf