Quarterpin
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 1,253
- 1,084
^^
The guilt are always afraid....
^^
Hahaaa! Umesababisha nicheke Himidini!
Hivi kuna wanaoongoza kuzaa nje ya ndoa kama wanaume? Au kwa sababu pua zenu hazikui sambamba na mimba mlizosababisha ndio mnajiona mko salama sana na kujivika utakatifu msiokuwa nao?
Kupeleka mtoto kupima DNA ni kumtusi mwenza wako,period!!
Wrong!
Aliyechepuka kweli alijua tangu mimba kuwa si ya mume,alimchunguza tangu mtoto akiwa kachanga na akajua kuna siku iso jina mambo yatakuwa hadharani hivyo anajipanga mapema.
Anayeumia na kujiona katusiwa ni yule aliye faithful kwa mumewe,akiambiwa mtoto akapimwe only because hajafanana na baba yake inaumiza sana,inaleta maswali mengi kwa kweli na hata kipimo kiki prove ni mtoto wa Mr damage inabaki kubwa kwenye mahusiano ya wawili hao!
Labda kama mwanamke hana nyongo!!
Sawa nakubalina na wewe as u said. Sasa inatokea mumeo amekufanyia surprise, na akamchukua mtoto kwenda kumpima na at the end ikabainika kuwa huyo mtoto...vinasaba havifanani na hitimisho ni kuwa mtoto sio wake. Sasa je kati ya mke au mume nani hapo atakuwa ame-mtusi mwenzake? come this way please![/QUOTE]
Here I am.
Nisome vizuri mkuu hapo juu,aliyebambika mtoto(aliyechepuka aka conceive) huwa haumii wala kuona ametusiwa!
Alishajipanga mapema na possible baba halali aliambiwa mapema kabla baba mlezi hujastuka,ukianza tu kumpekua sana mtoto mama naye anaanza ku pack mabegi anajua safari imewadia!!
Vipi ukiwa na mke "Hewalla bwana",akakubali mkaenda kupima mkakuta mtoto ni wako kweli,unamuomba radhi mkeo au unaanza kujichekesha chekesha?
Siiogopi DNA hata kidogo,ila naumizwa na imani ndogo aliyonayo mume wangu kwangu.^^
Nimekupata vizuri, Kusema umpime mtoto kisa tu hajafanana na mzazi hiyo hata genetics inakataa! Nakubali..
Hoja yangu ni hii, kama kweli u mwaminifu kwa nini uogope DNA?
^^
Put yourself in the woman's shoes,think and then judge!
Hahaaa! Umesababisha nicheke Himidini!
Hivi kuna wanaoongoza kuzaa nje ya ndoa kama wanaume? Au kwa sababu pua zenu hazikui sambamba na mimba mlizosababisha ndio mnajiona mko salama sana na kujivika utakatifu msiokuwa nao?
Kupeleka mtoto kupima DNA ni kumtusi mwenza wako,period!!
^^
Sijafanya utafiti kiasi cha kuwa na takwimu hapa kubaini kundi lipi linaongoza kuzaa nje ya ndoa!
Ikiwa kweli, uaminifu ndiyo zawadi bora uwezayo kumpa mwenza wako basi pasiwepo na kujitetea kusiko maana kati ya mume au mke!
^^
Siiogopi DNA hata kidogo,ila naumizwa na imani ndogo aliyonayo mume wangu kwangu.
Kama haniamini kiasi hicho sioni sababu ya kuendelea kuwa naye,kumuonesha siogopi naweza kwenda naye kupima then akishaambiwa mtoto ni wake namuuliza umeridhika au kuna kipimo kingine?
Kama hamna,nabeba kila kilicho changu,namshukuru kwa kutoniamini naenda kuanza maisha upya!!!
Dhana ni kitu kibaya sana...kama kuna kila sababu zinazokupelekea usimuamini mtu hapo sawa lakini kama mtu mnaishi kwa amani kabisa halafu unazuka mkapima DNA from nowhere atakuelewaje lazima ujipange haswa kujieleza sababu zinazoeleweka zikapelekea wewe kuchukua hatua hizo!
^^
Na hapa ndipo palipo na kosa la wanawake wengi.. KUTAKA KUAMINIWA WAKATI WOTE NA WAUME ZAO
hata kama kuna mambo mwanaume anayaona hayako sawa! Kuna wanaume ni mabingwa wa kutilia shaka chochote! Kuna wakati maisha ya ndoa ni mchezo wa 'kaa chonjo'
Kosa la pili, kwa sababu anahisi haaminiki, basi jawabu ni kuondoka, kuzira au kuamua kuthibitisha kuwa anaweza kuvunja uaminifu asigundulike.
Hakuna nyakati zinazohitaji HEKIMA na BUSARA za mke kama hizi
^^