Sawa nakubalina na wewe as u said. Sasa inatokea mumeo amekufanyia surprise, na akamchukua mtoto kwenda kumpima na at the end ikabainika kuwa huyo mtoto...vinasaba havifanani na hitimisho ni kuwa mtoto sio wake. Sasa je kati ya mke au mume nani hapo atakuwa ame-mtusi mwenzake? come this way please![/QUOTE]
Here I am.
Nisome vizuri mkuu hapo juu,aliyebambika mtoto(aliyechepuka aka conceive) huwa haumii wala kuona ametusiwa!
Alishajipanga mapema na possible baba halali aliambiwa mapema kabla baba mlezi hujastuka,ukianza tu kumpekua sana mtoto mama naye anaanza ku pack mabegi anajua safari imewadia!!
Vipi ukiwa na mke "Hewalla bwana",akakubali mkaenda kupima mkakuta mtoto ni wako kweli,unamuomba radhi mkeo au unaanza kujichekesha chekesha?