> Kwa vipimo vinavyo detect HIV antibodies,
ambavyo ni common tz, huwa reactive kuanzia wiki ya 6 hadi miezi 3 toka maambukizi .
> Kwa kipimo cha HIV DNA/RNA huwa reactive kuanzia siku ya 14 toka maambukizi. Kipimo hiki kinapatikana sehemu chache sana nchini kutokana na kuwa ghali.
Kwa tz kinatumika zaidi kwa watoto waliozaliwa na mama wenye maambukizi ili kuelewa mapema kama mtoto ameambukizwa ama hapana.