Nyakageni JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 15,044 Reaction score 5,115 Feb 18, 2011 #1 Benson Bana (kibaraka) against Baregu (jembe). Baada ya pole kwa waTZ kuhusu mabomu, Baregu amchambua Makinda Fuatilia . . .
Benson Bana (kibaraka) against Baregu (jembe). Baada ya pole kwa waTZ kuhusu mabomu, Baregu amchambua Makinda Fuatilia . . .
F FredKavishe JF-Expert Member Joined Dec 4, 2010 Posts 1,090 Reaction score 322 Feb 18, 2011 #2 Hebu tujuze ndugu maana tanesco kama kawa
Nyakageni JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 15,044 Reaction score 5,115 Feb 18, 2011 Thread starter #3 Majanikv said: Hebu tujuze ndugu maana tanesco kama kawa Click to expand... Kuna mama anaitwa Catherine Malila anamchana live Ana Makinda na bunge kukosa maadili
Majanikv said: Hebu tujuze ndugu maana tanesco kama kawa Click to expand... Kuna mama anaitwa Catherine Malila anamchana live Ana Makinda na bunge kukosa maadili
mfarisayo JF-Expert Member Joined Nov 23, 2010 Posts 5,160 Reaction score 2,004 Feb 18, 2011 #4 Catherine malila anatoa point safi sana, ana mdis makinda kuwa anapeleka bunge kubaya anashangaa wakati wabunge wa chadema wanatoka bungeni kwenye speech ya JK wabunge wa ccm walikuwa wakizomea pamoja na spika mwenyewe
Catherine malila anatoa point safi sana, ana mdis makinda kuwa anapeleka bunge kubaya anashangaa wakati wabunge wa chadema wanatoka bungeni kwenye speech ya JK wabunge wa ccm walikuwa wakizomea pamoja na spika mwenyewe
K kayumba JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 653 Reaction score 73 Feb 18, 2011 #5 Huku kwetu Tanesco watatupa nishati saa 5!
Ng'wanangwa JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 10,827 Reaction score 4,184 Feb 18, 2011 #6 Catherine: Kamati nyeti ya ulinzi na usalama anapewa mtu mwizi? tena bila kupingwa? 2nakwenda wapi Watz?
Catherine: Kamati nyeti ya ulinzi na usalama anapewa mtu mwizi? tena bila kupingwa? 2nakwenda wapi Watz?
K Kalila JF-Expert Member Joined Sep 10, 2010 Posts 245 Reaction score 58 Feb 18, 2011 #7 mama yupo nondo sana bana anadesa tu anamchambua vizuri spika anafaa kuolewa na tambwe ili amfundishe siasa
mama yupo nondo sana bana anadesa tu anamchambua vizuri spika anafaa kuolewa na tambwe ili amfundishe siasa
mfarisayo JF-Expert Member Joined Nov 23, 2010 Posts 5,160 Reaction score 2,004 Feb 18, 2011 #8 Kibaraka Bana anaanza kuongea
Ng'wanangwa JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 10,827 Reaction score 4,184 Feb 18, 2011 #9 mfarisayo said: Kibaraka Bana anaanza kuongea Click to expand... hilo neno kibaraka linampendeza sana. so we put kibaraka in place of dr.
mfarisayo said: Kibaraka Bana anaanza kuongea Click to expand... hilo neno kibaraka linampendeza sana. so we put kibaraka in place of dr.
K Kalila JF-Expert Member Joined Sep 10, 2010 Posts 245 Reaction score 58 Feb 18, 2011 #10 anamsifia january anataka kulisifia bunge ila anaona aibu anaiponda chadema kwa kutoka nje
Nyakageni JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 15,044 Reaction score 5,115 Feb 18, 2011 Thread starter #11 Benson Bana anasema hotuba ya rais imejadiliwa vizuri sana. HAJUI 50% YA SPEECH ZA CCM MPs NI KUPONDA CHADEMA NA SALAMU ZA VALENTINE
Benson Bana anasema hotuba ya rais imejadiliwa vizuri sana. HAJUI 50% YA SPEECH ZA CCM MPs NI KUPONDA CHADEMA NA SALAMU ZA VALENTINE
mfarisayo JF-Expert Member Joined Nov 23, 2010 Posts 5,160 Reaction score 2,004 Feb 18, 2011 #12 Bana anajikanyaga tu, anaponda chadema kutoka nje wakati wa mjadala wa tafsiri ya kambi ya upinzani
mfarisayo JF-Expert Member Joined Nov 23, 2010 Posts 5,160 Reaction score 2,004 Feb 18, 2011 #13 Bana is approximately equal to Tambwe hiza
K Kalila JF-Expert Member Joined Sep 10, 2010 Posts 245 Reaction score 58 Feb 18, 2011 #14 ana msifia mnyika kwa uwezo wa kujenga hoja
Nyakageni JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 15,044 Reaction score 5,115 Feb 18, 2011 Thread starter #15 Benson Bana anamsifia Mnyika. Anauma na kupuliza. He is hot and cold at the same time
Ng'wanangwa JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 10,827 Reaction score 4,184 Feb 18, 2011 #16 mfarisayo said: Bana anajikanyaga tu, anaponda chadema kutoka nje wakati wa mjadala wa tafsiri ya kambi ya upinzani Click to expand... anawasifu kinafiki chadema kuwabwetesha. hatudanganyiki.
mfarisayo said: Bana anajikanyaga tu, anaponda chadema kutoka nje wakati wa mjadala wa tafsiri ya kambi ya upinzani Click to expand... anawasifu kinafiki chadema kuwabwetesha. hatudanganyiki.
Y yogamo New Member Joined Jul 12, 2010 Posts 4 Reaction score 0 Feb 18, 2011 #17 Ebwana hiyo kali! Maandamano hadi bungeni
Nyakageni JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 15,044 Reaction score 5,115 Feb 18, 2011 Thread starter #18 kayumba said: Huku kwetu Tanesco watatupa nishati saa 5! Click to expand... very sorry brother. Na Dowans utawalipa
kayumba said: Huku kwetu Tanesco watatupa nishati saa 5! Click to expand... very sorry brother. Na Dowans utawalipa
shiumiti JF-Expert Member Joined Jun 4, 2009 Posts 435 Reaction score 19 Feb 18, 2011 #19 Tuwekee picha kaka kama unaweza.... wengine tuko mbali
Mzalendo80 JF-Expert Member Joined Oct 30, 2010 Posts 2,509 Reaction score 1,343 Feb 18, 2011 #20 Tujazeni Intelejensia wana-JF wengine Tumeadhibiwa na Tanesco