Mphamvu JF-Expert Member Jan 28, 2011 10,702 3,288 Nov 29, 2012 #1 Mahali: Kwenye kideo chako (analog au digitale) Muda: Saa 3 unusu onwards Hosts: Deo Rweyunga na Fatma Nyangasa
Mahali: Kwenye kideo chako (analog au digitale) Muda: Saa 3 unusu onwards Hosts: Deo Rweyunga na Fatma Nyangasa
Mphamvu JF-Expert Member Jan 28, 2011 10,702 3,288 Nov 29, 2012 Thread starter #2 Nimekosea wadau, sio tetesi, ni news Alert.
Mphamvu JF-Expert Member Jan 28, 2011 10,702 3,288 Nov 29, 2012 Thread starter #3 Naona kuna mwenyekiti wa sasa wa kamati hii, jina lake sijui.
Mphamvu JF-Expert Member Jan 28, 2011 10,702 3,288 Nov 29, 2012 Thread starter #4 Tandau anaongea hapa, analeta siasa za kutuambia imetokea wapi Olimpiki na nini na nini.
P punainen-red JF-Expert Member Nov 18, 2010 1,731 450 Nov 29, 2012 #5 Huyo anayepiga kampeni ndiye Tandau? Naona Rweyunga anachimba mkwara msiwape za uso wagombea!
Mphamvu JF-Expert Member Jan 28, 2011 10,702 3,288 Nov 29, 2012 Thread starter #6 punainen-red said: Huyo anayepiga kampeni ndiye Tandau? Naona Rweyunga anachimba mkwara msiwape za uso wagombea! Click to expand... Rweyunga hajaanza leo huo ujinga. Naona huyu dogo wa TSJ anawajambisha hapa...
punainen-red said: Huyo anayepiga kampeni ndiye Tandau? Naona Rweyunga anachimba mkwara msiwape za uso wagombea! Click to expand... Rweyunga hajaanza leo huo ujinga. Naona huyu dogo wa TSJ anawajambisha hapa...
Mphamvu JF-Expert Member Jan 28, 2011 10,702 3,288 Nov 29, 2012 Thread starter #7 Rwambow anafunguka hapa, anasema wapiga kura wapime utendaji wa viongozi waliopo. Ila ameharibu alipodai kuwa eti Watanzania wana matumaini makubwa na huu uchaguzi, sijui kafanya utafiti lini?
Rwambow anafunguka hapa, anasema wapiga kura wapime utendaji wa viongozi waliopo. Ila ameharibu alipodai kuwa eti Watanzania wana matumaini makubwa na huu uchaguzi, sijui kafanya utafiti lini?
Mphamvu JF-Expert Member Jan 28, 2011 10,702 3,288 Nov 29, 2012 Thread starter #8 Now talks the guy, Wilhelm Gidabuday.
Mphamvu JF-Expert Member Jan 28, 2011 10,702 3,288 Nov 29, 2012 Thread starter #9 Mphamvu said: Now talks the guy, Wilhelm Gidabuday. Click to expand... Anaelekea kumlipua Bayi hapa...
Mphamvu said: Now talks the guy, Wilhelm Gidabuday. Click to expand... Anaelekea kumlipua Bayi hapa...
King Kong III JF-Expert Member Oct 15, 2010 51,697 68,682 Nov 29, 2012 #10 Hivi ni kipima joto au ni malumbano ya hoja? Nipo mbali na TV!
Mtego wa Noti JF-Expert Member Nov 27, 2010 2,591 1,599 Nov 29, 2012 #11 Mphamvu said: Rweyunga hajaanza leo huo ujinga. Naona huyu dogo wa TSJ anawajambisha hapa... Click to expand... kwa hiyo wamejamba tayari? kabla hujaniambia kama wamejamba, amewajambishaje?
Mphamvu said: Rweyunga hajaanza leo huo ujinga. Naona huyu dogo wa TSJ anawajambisha hapa... Click to expand... kwa hiyo wamejamba tayari? kabla hujaniambia kama wamejamba, amewajambishaje?
Mphamvu JF-Expert Member Jan 28, 2011 10,702 3,288 Nov 29, 2012 Thread starter #12 King Kong III said: Hivi ni kipima joto au ni malumbano ya hoja? Nipo mbali na TV! Click to expand... Nimekosea mimi. Ni malumbano ya hoja....
King Kong III said: Hivi ni kipima joto au ni malumbano ya hoja? Nipo mbali na TV! Click to expand... Nimekosea mimi. Ni malumbano ya hoja....
Mphamvu JF-Expert Member Jan 28, 2011 10,702 3,288 Nov 29, 2012 Thread starter #13 Gidabuday amesema kuwa kwa watu waliokuwepo TOC tusitarajie lolote jipya. Akatoa mfano kuwa wamejenga ofisi nzuri bila miundombinu ya kimichezo.
Gidabuday amesema kuwa kwa watu waliokuwepo TOC tusitarajie lolote jipya. Akatoa mfano kuwa wamejenga ofisi nzuri bila miundombinu ya kimichezo.
Mphamvu JF-Expert Member Jan 28, 2011 10,702 3,288 Nov 29, 2012 Thread starter #14 Tandau anaanza kutaja wasifu, kama Malecela wa JF vile...