KipimaJOTO ITV: Kuelekea uchaguzi mkuu wa kamati ya Olimpiki, wadau watarajie nini?


Mphamvu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
10,712
Likes
1,015
Points
280
Mphamvu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
10,712 1,015 280
Mahali: Kwenye kideo chako (analog au digitale)
Muda: Saa 3 unusu onwards
Hosts: Deo Rweyunga na Fatma Nyangasa
 
Mphamvu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
10,712
Likes
1,015
Points
280
Mphamvu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
10,712 1,015 280
Nimekosea wadau, sio tetesi, ni news Alert.
 
Mphamvu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
10,712
Likes
1,015
Points
280
Mphamvu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
10,712 1,015 280
Naona kuna mwenyekiti wa sasa wa kamati hii, jina lake sijui.
 
Mphamvu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
10,712
Likes
1,015
Points
280
Mphamvu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
10,712 1,015 280
Tandau anaongea hapa, analeta siasa za kutuambia imetokea wapi Olimpiki na nini na nini.
 
P

punainen-red

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Messages
1,735
Likes
38
Points
0
P

punainen-red

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2010
1,735 38 0
Huyo anayepiga kampeni ndiye Tandau? Naona Rweyunga anachimba mkwara msiwape za uso wagombea!
 
Mphamvu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
10,712
Likes
1,015
Points
280
Mphamvu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
10,712 1,015 280
Huyo anayepiga kampeni ndiye Tandau? Naona Rweyunga anachimba mkwara msiwape za uso wagombea!
Rweyunga hajaanza leo huo ujinga.
Naona huyu dogo wa TSJ anawajambisha hapa...
 
Mphamvu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
10,712
Likes
1,015
Points
280
Mphamvu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
10,712 1,015 280
Rwambow anafunguka hapa, anasema wapiga kura wapime utendaji wa viongozi waliopo.
Ila ameharibu alipodai kuwa eti Watanzania wana matumaini makubwa na huu uchaguzi, sijui kafanya utafiti lini?
 
Mphamvu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
10,712
Likes
1,015
Points
280
Mphamvu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
10,712 1,015 280
Now talks the guy, Wilhelm Gidabuday.
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
31,806
Likes
13,326
Points
280
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
31,806 13,326 280
Hivi ni kipima joto au ni malumbano ya hoja? Nipo mbali na TV!
 
Mtego wa Noti

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2010
Messages
2,263
Likes
270
Points
180
Mtego wa Noti

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2010
2,263 270 180
Rweyunga hajaanza leo huo ujinga.
Naona huyu dogo wa TSJ anawajambisha hapa...
kwa hiyo wamejamba tayari? kabla hujaniambia kama wamejamba, amewajambishaje?
 
Mphamvu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
10,712
Likes
1,015
Points
280
Mphamvu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
10,712 1,015 280
Gidabuday amesema kuwa kwa watu waliokuwepo TOC tusitarajie lolote jipya.
Akatoa mfano kuwa wamejenga ofisi nzuri bila miundombinu ya kimichezo.
 
Mphamvu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
10,712
Likes
1,015
Points
280
Mphamvu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
10,712 1,015 280
Tandau anaanza kutaja wasifu, kama Malecela wa JF vile...
 

Forum statistics

Threads 1,249,979
Members 481,178
Posts 29,716,561