KipimaJOTO ITV: Kuelekea uchaguzi mkuu wa kamati ya Olimpiki, wadau watarajie nini?

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,285
Mahali: Kwenye kideo chako (analog au digitale)
Muda: Saa 3 unusu onwards
Hosts: Deo Rweyunga na Fatma Nyangasa
 
Naona kuna mwenyekiti wa sasa wa kamati hii, jina lake sijui.
 
Tandau anaongea hapa, analeta siasa za kutuambia imetokea wapi Olimpiki na nini na nini.
 
Rwambow anafunguka hapa, anasema wapiga kura wapime utendaji wa viongozi waliopo.
Ila ameharibu alipodai kuwa eti Watanzania wana matumaini makubwa na huu uchaguzi, sijui kafanya utafiti lini?
 
Gidabuday amesema kuwa kwa watu waliokuwepo TOC tusitarajie lolote jipya.
Akatoa mfano kuwa wamejenga ofisi nzuri bila miundombinu ya kimichezo.
 
Tandau anaanza kutaja wasifu, kama Malecela wa JF vile...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom