Kipima Joto live ITV na Vikao vya Bunge

Kipima Joto live ITV na Vikao vya Bunge

THE PERFECT

Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
29
Reaction score
5
Makamanda, Itv ipo Live now, na kipindi chao cha kipima Joto . ok Joto lipo Juu mada ni VIKAO VYA BUNGE, nafuahishwa na mgeni mwanaharakati Iron Lady mama Anania Nkya anayocoment Mfano anasema Hakuana haja kwa Mbunge kuanza kushukru kila mtu hadi familia pia issue ya viti kuwa wazi bungeni. yupo na Asifa Uhusiano wa Bunge anajikanyaga kanyga tu na Suti yake wadau inasikitisa huyu mama naona point zetu za Jamii forum anawasilisa Vema pia kuna Pro Tigiti
 
afisa uhusiano wa bunge anajalibu kutetea ubovu jama kapiga sim kaamuwa kumponda
 
prof naye ana points sana na katulia katika uchangiaji wake. halikadhalika wachangiaji wametoa mchango mzuri sana. wanasema wabunge wanalewa marupurupu katika mda mfupi baada ya wananchi kuwachagua. mapengo (viti tupu) ndani ya bunge na kugeukiana na kusogoa kunakowezeshwa na viti vya starehe wakati mijadala inaendelea vinakera wananchi. kuna mashindano ya mavazi na usukaji wa nywele.
 
Back
Top Bottom