Kipima Joto ITV: Kambi rasmi ya Upinzani kususia bungeni ni suluhisho?

kipimajoto cha ITV ovyo sana....

wanatoa asilimia za ndiyo, hapana na sijui lakini hawaonyeshi idadi halisi ya watu waliopiga hizo kura???

Mfano:

Inawezakana asilimia 80% ya ndiyo ni SMS za watu nane (8) tu & asilimia 20% ya hapana ni watu wawili (2) .......

Je watu 10 wanawezi wakilisha watu milioni 40........

Mi-graduate ya mzumbe, sua na tumain utaijua tu. Research namkumbuka Dr. Lymo UDSM. Coz unapinga hapo ni nn PL huku-attend.
 
Back
Top Bottom