Mwaswali yote yanayo anza na JE... ni maswali ya kinafiki...
haya ngoja na sisi tuulize
Kipima joto kuto kuweka idadi ya wapiga kura ni sahihi..
JE haki elimu wajitoe kudhamini kipindi?
kama jibu lako ni Ndio endelea kujadili...
hivi hata haki elimu hawajui haya?
Hivi maswali yanayo ulizwa ITV kupitia Kipindi cha kipima joto Hua yana jibiwa na watu wangapi?
Walio jibu ndio ni asilimia 10 na walio jibu hawajui ni asilimia 90 hapana hakuna
Hizi asilimia za idadi ipi?
Kwanini wasitoe na idadi ya watu walio piga kura... ili tujue kuliko kupelekana pelekana toweni na idadi ya kura zilizo pigwa!!
wazee mumegusa penyewe, naomba niiweke hivi, taarifa ya habari especially ITV ni mbovu kuliko zote duniani, kwanza habari yenyewe ni moja tu kwa siku, lakini mambo yanakimbizwa utadhani mwandishi kabanwa na mkojo, sioni hata maana ya hizi news, basi ni summary yani, imagine habari za afrika mashariki hivi ITV mnatuonyeshaga nini? hakuna hata aibu? kama vipi si museme tulipie kama tv za nchi zingine ili tuwe na usemi? bora star TV kiasi wanajua kufafanua habari na kutranslate,pia TBC, but ITV naina mashka na wandishi wao wa habari pia wahariri wao,kama kweli wana elimu stahili,poor you
What do you have for TBC ambao wako hadi DSTV ila hawawezi hata ku-regulate sound yao??????????
Unajua hii ni tabia mbaya iliyopo miongoni mwetu! We are not serious!
Hatujipangi na wakati mwingine nafikiri hawa watu wanakurupushwa!
Naungana na wote hapa wanaosema kuwa TV stations zetu zote hawako vizuri! Yaani hata hayo matanagazo ya biashara nayo yamekosewa mpaka spelling wachilia shooting, script na sound!
Kusema kuwa tunalinaganisha Magiants na sisimizi; si kweli; nendeni mkaone South sudan televison. Nation na hata Rwanda TV.
wakati mwingine unajikuta unalazimi kuwa na remote control karibu kwani TV zinapayuka utadhani zimelewa gongo; sauti zinapanda na kushuka na usiombee live coverage; Walau hapa nawapa pongezi Star tv wamejitahidi ila wanahitaji marekebisho kidogo!
Tukirudi kwa watangazaji wetu ndio balaa; mwambie akutajie jina la Ahmadinejad kwa haraka utatamani ulie wachilia mbali habari hiyo imuhusu Sarkozy;
We are simply not serious!
Si TBC, STAR TV wala nani presenters wetu hawako serious na sidhani kama wako committed.
Ovyo ovyo ... si kipima joto wala baridi...vyote vinanuka ubabaishaji tu
Duh! picha yako inatisha kama nini.Hivi maswali yanayo ulizwa ITV kupitia Kipindi cha kipima joto Hua yana jibiwa na watu wangapi?
Walio jibu ndio ni asilimia 10 na walio jibu hawajui ni asilimia 90 hapana hakuna
Hizi asilimia za idadi ipi?
Kwanini wasitoe na idadi ya watu walio piga kura... ili tujue kuliko kupelekana pelekana toweni na idadi ya kura zilizo pigwa!!
Sometimes kuna porojo nyingi, but mkuu, usipopenda cha kwako, no one will love it. TRY TO ENCOURAGE WANAHABARI WA BONGO SO AS THEY CAN IMPROVE ZAIDI.Si TBC, STAR TV wala nani presenters wetu hawako serious na sidhani kama wako committed.
Ovyo ovyo ... si kipima joto wala baridi...vyote vinanuka ubabaishaji tu
Sometimes kuna porojo nyingi, but mkuu, usipopenda cha kwako, no one will love it. TRY TO ENCOURAGE WANAHABARI WA BONGO SO AS THEY CAN IMPROVE ZAIDI.
Bravo TBC1 siku hizi wapo juu, may be Tido mhando kaingia na mbinu za kisasa!