Kipima joto cha ITV leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipima joto cha ITV leo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shine, Jun 23, 2012.

 1. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ktk kipima joto cha ITV leo wanahiji "Baadhi ya watoza kodi kutoza zaidi ya kiwango kilichowekwa waadhibiwe kama mafisadi?" swali langu hapa kwani ni fisadi yupi hapa Tanzania alishawahi kuadhibiwa ili tuweze kufananisha hiyo adhabu kama inawafaa!
  Nawasilisha
   
 2. G

  GALIMA JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kwan kipimajoto application yake ni wapi??huwa wanafanyia kazi majibu.!tusichoshane
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kipimajoto ni biashara, kila jibu wao wanaingiza fedha kiulaini.
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Naona wanaishia kupiga hela tu
   
 5. M

  Msukule Mweusi JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2013
  Joined: Jan 24, 2013
  Messages: 297
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumbe shekh Salum wa mkoa wa dar umeenda kuripua mabomu hapo ITV
   
Loading...