sawa ila naongea ukweli tu siyo kwamba wachezaji hakuna ila u faza na kujiona bora kwa baadhi ya wachezaji hadi wengine kuuza mechi unaona sawa??? hii timuatimua itarudishia watu aklili zao
sawa ila naongea ukweli tu siyo kwamba wachezaji hakuna ila u faza na kujiona bora kwa baadhi ya wachezaji hadi wengine kuuza mechi unaona sawa??? hii timuatimua itarudishia watu aklili zao
Toka zako Simba tunaamini kwenye nguvu moja,Ila wewe ni nguvu pinzani huwezi kuwa mshabiki wa Simba unakengeuka hovyo huna moyo wakiume we ni π΅π΅π΅π΅tu Kama π΅π΅π΅π΅ wengine..
Ndio nachukua Tena ubingwa,nyie mautopolo mamisukule mashetani mapunguani kwa Sasa wanaume Simba yumeamua shauli yenu.. wanaume hatutaki Tena 50/50 kila mtu ajitegemee
ndugu nikiwa kama mwanasimba nakushauri achana na mawazo hayo utopwinyo wan nafasi kubwa san ya kuchukua huu ubingwa labda hiyo timuatimua inayoendelea usiku huu itawaamsha wahusika klabuni
Na nyie mmezidi kufungwa kama libolo fc bhana
Achaneni na ushabiki uchwara kila siku kufungwa tuu
Utopolo nao ovyo tuu japo wakicheza na nyie wanawapelekea moto balaaa tena wa makaa ya mawe daaah
Mpira wa bongo ni kichekesho
Uaneni, ushabiki maandazi tuu
Wajanja ndiyo wanakula maisha kupitia nyie vilaza