Inkoskaz JF-Expert Member Nov 6, 2010 6,372 2,375 Jan 23, 2011 #21 sidhani kama bado anlistahili kuwa na fahamu zake hapo.... bado wanasubiri PF 3
Ally Kombo JF-Expert Member Nov 11, 2010 11,429 2,645 Jan 24, 2011 #22 Mla Mbivu said: hii ni brazil mkuu, angalia label ya m-soldier begani. Click to expand... ............. askari wa brazil, helmet haina chata! ............. kama ni risasi itakuwa imepigwa upande gani ? ili ivumue mbele lazima ipigwe nyuma .... na nyuma asinge sarvive hivyo (modula oblangata ) very confusing !:disapointed:
Mla Mbivu said: hii ni brazil mkuu, angalia label ya m-soldier begani. Click to expand... ............. askari wa brazil, helmet haina chata! ............. kama ni risasi itakuwa imepigwa upande gani ? ili ivumue mbele lazima ipigwe nyuma .... na nyuma asinge sarvive hivyo (modula oblangata ) very confusing !:disapointed:
B bitimkongwe JF-Expert Member Oct 21, 2009 7,372 6,830 Jan 24, 2011 #23 Jamani hebu iondoeni hiyo picha, wekeni link tuu. Kwa kweli inatisha sana.
Da Dinnah JF-Expert Member Jan 24, 2011 504 181 Jan 25, 2011 #24 mi nawaza tu akipona takuwaje huo uso. na kama ana mke jamaa ndio kapona anataka mchezo kwenye taa. lol mungu amsaidie jamani
mi nawaza tu akipona takuwaje huo uso. na kama ana mke jamaa ndio kapona anataka mchezo kwenye taa. lol mungu amsaidie jamani
kkakuona Member Jan 12, 2010 70 2 Jan 25, 2011 #25 Dinnah said: mi nawaza tu akipona takuwaje huo uso. na kama ana mke jamaa ndio kapona anataka mchezo kwenye taa. lol mungu amsaidie jamani Click to expand... Mchezo watapeana kimgongomgongo
Dinnah said: mi nawaza tu akipona takuwaje huo uso. na kama ana mke jamaa ndio kapona anataka mchezo kwenye taa. lol mungu amsaidie jamani Click to expand... Mchezo watapeana kimgongomgongo
M-bongotz JF-Expert Member Jan 7, 2010 1,734 405 Jan 25, 2011 #26 Haiwezekani akawa mwizi huyo jamaa,haiingii akilini kuwa alikuwa akipigwa eneo hilo la uso tu.
Ambassador JF-Expert Member Jun 2, 2008 933 75 Jan 25, 2011 #29 Safari_ni_Safari said: Huyu kapigwa risasi na sio bodaboda....angalia mijeshi hapo pembeni Click to expand... Safari ni Safari avatar yako inafanana hiyo picha, ni maumbile au na wewe mwenzetu yalikusibu?
Safari_ni_Safari said: Huyu kapigwa risasi na sio bodaboda....angalia mijeshi hapo pembeni Click to expand... Safari ni Safari avatar yako inafanana hiyo picha, ni maumbile au na wewe mwenzetu yalikusibu?