Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,894
- 20,375
Wadau, amani iwe kwenu.
Ni dhahiri sasa CHADEMA wamechanganyikiwa, wamevurugwa na wanahema. Haki ya nani sijapata kuona wakubwa hawa wakivurugwa kama sasa. Yaani hata kile kipigo cha uchaguzi Mkuu kilikuwa afadhali. Hiki cha sasa ni kama kipigo cha mbwa mwizi au panya road.
Tangu uchaguzi mdogo umalizike, Lowasa, Mbowe na Sumaye wamejificha kusikojulikana. Wamemwachia Tundu Lissu Lissu awafariji wapenzi, wanachama na wafuasi wa CHADEMA waliokata tamaa. Pamoja na viongozi hao na safu nzima ya CHADEMA kuweka kambi kwenye kata hasa za Kanda ya Ziwa, maskini hawa wababa wameambulia patupu. Pamoja na jitihada zote za kumchonganisha Rais kwa wananchi, hatimaye wananchi wakaamua kuipigia kura CCM na kuwakataa Lowasa, Mbowe Sumaye na genge lao.
Hizi si dalili njema kwa wapinzani. Kama wameshindwa kipindi hiki ambapo nchi imekumbwa kwenye mitikisiko kama kupanda kwa bei ya mahindi, ukame, tetemeko la Kagera, nk, sitarajii kuona CHADEMA wakifufuka kisiasa. Bado wanaamini kuwa 2020 watashinda? Thubutu!
Wafuasi wao mitandaoni wamesambaratika kabisa. Afadhali hapa JF. Kule kwingine kama facebook yaani wamechapika ile mbaya. Wengine hawajapost chochote tangu Januari 22 saa nne Usiku walipopata taarifa rasmi kuwa wamechapika.
Niwasihi wale mavuvuzela wanaojiita UKAWA. Tulieni. Magufuli bado hajafanya siasa. Kwa sasa yupo busy kuwatumikia Watanzania. Nyie endeleeni kufanya siasa uchwara ambazo mwisho wa siku zinakuja kuwagharimu.
Bye bye CHADEMA.
Bye bye LOWASA, MBOWE na SUMAYE