Kipi ni kipi?

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,709
Imezoeleka watu wanapokuwa wanatafuta wenza/wapenzi kutoa sifa za wanaemtaka kama vile;awe sijui mweupe,sijui mrefu,sijui mweusi,awe na elimu fulani mara sijui nini utafikiri anatafuta mtu wa kufanya kazi fulan,yote katika yote sijaona mtu akisema"awe MWAMINIFU"kwani mi nafikiri hii ni sifa mama,hata hizo sifa nyingine zikikosekana ikiwepo hiyo maisha yanaenda,sijui nyie mnafikiri sifa ipi au ni zipi ni muhimu ambazo mtu anatakiwa aangalie anapotafuta someone special!!
 
Huwezi kutoa nafasi ya kazi katika ofisi kubwa halafu ukasema awe anajua kusoma na kuandika.
 
yote, sijui mwaminifu, upendo aniheshimu ila kubwa zaid awe mweupe
 
yote, sijui mwaminifu, upendo aniheshimu ila kubwa zaid awe mweupe
Dada,colour has nothing to do with love!Utakumbuka wakati huyo mweupe atakapokuwa analala nje na utakapopigiwa simu na mahawara zake na kutukanwa,hiyo rangi sijui kama itakusaidia na sidhani kama hayo mahusiano/ndoa utaifurahia!
 
sasa uaminifu si ni self evidence? mbona hawasemi awe na uwezo wa kunipenda? bacause it is part of the deal. wanataja vile vingine ambavyo ni particular kwa kila mmoja ila vitu kama upemdo wa kweli, uaminifu etc ni vya wote tu na hivo sio lazima kurudilia.
 
Uaminifu, heshima, upendo wa kweli nafikiri ndio muhimu zaidi. Hayo mengine labda kama mwanaume/ mwanamke unataka wa kuuza nae sura kitaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom