Habari wana JF!
Mimi ni mwana JF mwenzenu, elimu yangu ni ya kidato cha nne, na course ya Nursing,
pia napenda zaidi kusomea mambo ya ushauri nasaha, ila sielewi hivyo vyuo vipo sehemu gani.
Nimejitokeza kwenu kuomba mwenye kufaham moja wapo ya vyuo hivo anisaidie kunijuza tafadhali nipo Musoma.