Kipi minasababisha foleni kati ya Mataa šŸš„ na Matrafki

Black BackUp

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
685
625
Habari zenu wadau,

Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu.

Hivi hapa Jijini Dar es salaam nini haswa chanzo cha foleni katika barabara zetu kati ya taa za barabarani au traffic?
Je, trafiki ni chanzo, maana wanasimama mpaka kwenye roundabout, barabara za mitaani pamoja na kwenye maeneo mengine.

Hivi kwani vipi wakiachia taa zifanye kazi yake maana taa zimedizainiwa kuruhusu magari kwa muda maalum kila upande bila kuongeza ama kupunguza muda.

Toa maoni yako maana yako
 
Huku niliko taa zenyewe wameziseti kikuda kuda tu,Red inawaka kwa sekunde 120(dakika 2) afu Green inawaka kwa sekunde 30(nusu dakika),kama si kulostishana huko.
 
Vyote viwili ni majanga, solution ni roundabout iwapo hatuna uwezo wa flyover na camera za barabarani tu, ila kwakuwa polisi na baadhi ya watendaji wanapenda sana rushwa ndiyo maana hawataki mabadiliko, wanakwenda sana Ughaibuni lakini sijui wanajifunza nini kule maana wakirudi hapa akili inakuwa mbovu kuliko hawajaenda majuu.
 
Huku niliko taa zenyewe wameziseti kikuda kuda tu,Red inawaka kwa sekunde 120(dakika 2) afu Green inawaka kwa sekunde 30(nusu dakika),kama si kulostishana huko.

Nimeikuta hii mataa ya pale Tumbaku Morogoro ambapo Highway Iringa to Dar ina muda mfupi sana kiasi kwamba kama kuna maroli 5 kila moja linatumia 10 seconds kuondoka na muda wote unakuwa umekwisha kwa roli moja
 
Mandela road kukiwa na traffic foleni inakuwepo,wakiondoka au wakiwa wamechelewa kufika foleni hakuna. Mataa yanafanya kazi nzuri kuliko askari ambao hawaeleweki
 
Kweli kabisa asilimia kubwa hawa jamaa (traffic) kama hawapo barabaran foleni hua hakuna ama folen hua inatembea... Wakikaa tu balaah linaanza
 
Hiyo ni ya pale Africana nini, maana km unatokea Salasala magari yanayoweza kupita hayazidi 4 then Red light inawaka,lbd wave wamerekebisha !
Huku niliko taa zenyewe wameziseti kikuda kuda tu,Red inawaka kwa sekunde 120(dakika 2) afu Green inawaka kwa sekunde 30(nusu dakika),kama si kulostishana huko.
 
Hujakosea mzee baba,panazingua sana sijui walipaweka makusudi vile.

Back
Top Bottom