Maziwa ndio kinywaji kizuri sana kwa afya, na kinaongeza pato la Taifa pia. Achana na pombe,sio nzuri kwa afya. Badala yake kunywa maziwaCaster lager..mkuu hii kitu n amazing...but kitambi cha nn??
Habari Za Jioni Wana Ukumbi
Nimeamua Nianze Kunywa Bia Hasa Bia za Nyumbani ( Local Beer ) Kutoka TBL Na SBL Ili Kujenga Uchumi Wa Nchi Na kumuunga Mkono Rais Wetu Kipenzi John Magufuli Katika Kuongeza Mapato.
Naombeni Msaada, Ni Bia Gani Nzuri Ninywe Ili Niweze Kuburudika Hasa Wakati Huu Nikiwa Likizo. Ni Bia Gani Nzuri Inayoweza Kunipa Kitambi Pia Ambayo Haina Hang Over?
Karibuni Mtiririke Wanywaji Mliotukuka.
Kuna kinywaji kinachoongeza pato la taifa zaidi ya pombe (sio magu ![emoji12] ) ? Angalia hata bajeti ya mwaka huu utaona kipi kitakacho ongezeka kodi yake kati ya pombe (narudia tena sio magu [emoji12] ) na maziwa...[emoji57] [emoji57]Maziwa ndio kinywaji kizuri sana kwa afya, na kinaongeza pato la Taifa pia. Achana na pombe,sio nzuri kwa afya. Badala yake kunywa maziwa
Dah mwanangu upo vizuri sana zile ukipga unanyanyua dodoma yetu inakuwa na Uchumi mzuriTumia dompo wine au dodoma wine,ipo safi sana utaenjoy.
Nilianza na bia na nilitumia bia zoooote lakini sikuridhika ikabidi nihame,nikawa mtumiaji wa wine na hapa Dodoma hii kitu ni very cheap 8000/=only.Dah mwanangu upo vizuri sana zile ukipga unanyanyua dodoma yetu inakuwa na Uchumi mzuri