Kumfumania inauma sana kuliko kufiwa, kwa sababu kifo ni natural halaf hakukusudia afe so ukifikiria hivyo kidogo unaweza kupoa, lakini kufumania noma, tena mbaya unakutana na mwanamke kiburi anakujibu AMUA unachotaka, yaani ni dharau kiasi gani hiyo, na ndio maana wengine wanaua wanaona bora wapate maumivu ya kufiwa kuliko kuendelea kupata maumivu ya kufumania