Mwl Mweusi
Member
- Feb 12, 2018
- 26
- 17
Hayo huwa maumivu ya muda mfupi sanaHv ulishawah kujigonga kidole cha mwisho mguuni pembezoni mwa kitanda...???? nadhani hapo utakuwa umepata jibu mkuu
Hapa umechanganya vitu viwili tofauti
Majibu mepesi na mengine kutokua na uhusiano ni matokeo ya swali lako nalo kuwa irrelevant + sawa na kuuliza tako na mguu kipi kikubwa!? Unategemea upate majibu sahihi!!!! Hebu ulizwa maswali yanayoeleweka¡
Hapo kinacho mata ni maumivu yanavyo uma na si yanavyo tokeaMajibu mepesi na mengine kutokua na uhusiano ni matokeo ya swali lako nalo kuwa irrelevant + sawa na kuuliza tako na mguu kipi kikubwa!? Unategemea upate majibu sahihi!!!! Hebu ulizwa maswali yanayoeleweka¡
Goti la ukubwa wowoteGoti la ukubwa gani?