Aliyepewa kandarasi ya kusambaza laptops ameifanya kazi yake kikamilifu, tatizo lipo kwenye usimamizi wa shule, utapata pesa zilizotengewa kwa ajili ya maslahi ya shule kuna jamaa kazieka mfukoni atatumia pesa hizo wakati wa kampeni akiahidi kuweka madawati kwa shule hio hio.Watoto wa Shule nchini Kenya (pichani) baada ya kupokea laptop zao kama walivyoahidiwa na Serikali ya Kenya, binafsi sikosoi wala sihukumu ila najiuliza tu, kama Laptop ni muhimu kuliko Madawati/viti kwa kukalia kwa Watoto wa Shule!