maguzumunda
Member
- Jan 16, 2017
- 53
- 29
hapo kapinge coz ya mantainance maana nchini kwetu now Kuna pangaboi zinazima Zima saana..... utaokoa jahazi
Nimekutumia meseji...pitia tafadhaliHabar wana JF tangu utoton nina dream ya kusomea fan tajwa hapo juu.
Naombeni mnidadavulie ipi inalipa zaidi kwa kuajiriwa au kujiajiri.