rechungura1
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 387
- 131
kwa mm ninavyoona ni zote zinalipa ila uengineer uko poa .Habar wana JF tangu utoton nina dream ya kusomea fan tajwa hapo juu.
Naombeni mnidadavulie ipi inalipa zaidi kwa kuajiriwa au kujiajiri.
Aircraft maintainance Eng ila ada ndio 10 -13m[emoji1] [emoji1] [emoji1]Uingeneer gani aende sasa
Karibu kwenye fani mkuu ya craft engeering ipo vizuri, na adaa afya na kichwaHabar wana JF tangu utoton nina dream ya kusomea fan tajwa hapo juu.
Naombeni mnidadavulie ipi inalipa zaidi kwa kuajiriwa au kujiajiri.
NIT mabibo dsmHapo sawa lazaroj.
Hicho chuo kipo wapi kwa hapa karibu africa na kiwe reputable
Karibu kwenye fani mkuu ya craft engeering ipo vizuri, na adaa afya na kichwa
ILa serikali ina mkono wake kama 75%Aircraft maintainance Eng ila ada ndio 10 -13m[emoji1] [emoji1] [emoji1]
akaribie NIT ajifunze mengiiiiiiiiiiiiNIT mabibo dsm
kama ni mkulimaa wa koroshoooKama ada ni milion kum je tutasoma watot wa mkulima kwel
ILa serikali ina mkono wake kama 75%