kwani kuna tofauti gani kati ya ubongo na akili, au kitu kile lile majina tofauti?, au kimoja kipo ndani ya kingne
kwani kuna tofauti gani kati ya ubongo na akili, au kitu kile lile majina tofauti?, au kimoja kipo ndani ya kingne
kwani we ulifikiri nini mpaka ukafikiria hiki ulichokifikiri na kukiandika hapa..??je ni ubongo unafikiri kama unaakili? au unafikiri unaubongo wenye akili au unaakili inayokufanya ujue unafikiria unaubongo na nini kilifikiria kikakufanya ufikiri unachofikiria ?
Akili ni software ubongo ni hardware,
nani sasa anaorganize hiyo computer
nilifikiri kuna mtu atafikiri nilichojaribu kufikiri