Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,022
HakikaTafuta pesa kwanza
Kwani wewe upo sahihi kwa wale unaowafuata?Sijapata mtu sahihi wa kuoa hadi hivi sasa
Sijui.. maana mimi sio waoKwani wewe upo sahihi kwa wale unaowafuata?
Mkuu hao malaika wa kike Mbinguni kwenye maandiko matakatifu uliwasomea Wapi?Agizeni malaika toka mbinguni muoe