salamu
ni mda mrefu sana zao letu la biashara tunalolitegemea linaitwa UFUTA limekua mkombazi wa kiuchumi kwa wilaya yetu na tanzania kwa ujumla
tangu miaka ya nyuma zao hili la biashara limekua likipanda kila mwaka au kumentain bei kama likishuka basi tofauti hua ni 1000 au 2000, kwa debe
nakumbuka kuanzia mwaka 2003 tuliuza sh 5000 debu kwa bei ya kijijini,hadi kufika mwaka 2014 nakumbuka niliuza debe sh 40000 kwa bei ya kijijini kwa bei ya sokoni ilikua 3200 kilo,mwaka jana soko lilipanda had 45000 likapungua kidogo ikawa 38000 adi 40000,
lakini mwaka huu bei imepungua kalibu nusu nzima,bei ya kijijini debe ni sh 24000 bei ya soko mjini ni 1800 kilo moja,nimeshangaa sana hadi kupelekea nisifikilie
kulima mwaka huu
napenda kuuliza waungwana kwanini soko la ufuta limeshuka sana mwaka huu?
je mwakani soko linaweza kua zuri ili nijue nisije poteza garama zangu?
napenda kujua