Vyote sijatumia.teeh...
Vyote nimetumia....ila balaa ni hiyo redio na mpira....maana redio ishanisababishia vipondo kwa Sultani..kwa kufuta kanda zake za Franco na Le TP Ok jazz....na mpira ushanichelewesha mara kibao kurudi home..hivyo hapo ntakutana na mama kama saa 2 usiku..nikiwa sijaoga...kinachofuata hapo unajua.....
kufuta kanda na kujirekodi au kurekodi kiipindi...nilichezea sana makofi toka kwa mzee