mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,463
- 3,932
Ushauri wenu wana JF.Asante
Kwenda heshini ni bora zaidi. Kwani jeshi letu sasa hv ni la wenye elimu, utaajiriwa na nafasi ya kuendelea na masomo kwa ngazi yoyote ile utapata. Kuna watu wamesomea jeshini na hv sasa wana master zao.
Mbona nasikia kila siku kuna ma file ya watu wanaoomba kwenda kusoma na inakuwa ngumu kwenda kusomaKwenda heshini ni bora zaidi. Kwani jeshi letu sasa hv ni la wenye elimu, utaajiriwa na nafasi ya kuendelea na masomo kwa ngazi yoyote ile utapata. Kuna watu wamesomea jeshini na hv sasa wana master zao.
Asante MKuu lakini mbona wazazi wanasema elimu yangu haitoshi kwa hiyo degree kwanza then jeshi lipo tu muda ukifika niende kama nikitakadegree haipikwi jikoni. nenda kamata ajira yako utasoma taratibu hali ya kuwa cheti chako cha form six kipo
Ushauri wenu wana JF.Asante
kitu cha muhimu nenda chuo kasome upate taaluma yako ndio uende jeshini vinginevyo,hata kama utapata nafasi ya kwenda kusoma ukiwa jeshini ni kwa mda mrefu na pia jeshi linasomesha watu kutokana na demands, huwezi ukalazimisha kusoma,na kama litakua na uhitaji wa mtu mwenye taaluma fulani ndio watampeleka akasome.Nenda ukiwa na taaluma yako itakua rahisi kwako.
Inategemeana na kozi uliosoma na uwezo wa nyumbanii jeshi linatafutwa ndugu skuizi na hasa wasomi huwa wanaliskia kwenye bomba
Mbona nasikia kila siku kuna ma file ya watu wanaoomba kwenda kusoma na inakuwa ngumu kwenda kusoma
ni kwel