Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,712
- 1,661
Habari za siku kuu wa tanzania wenzangu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,kama tunavyoelewa kadhia ya joto majumbani kwetu ina fika kipindi ina kuwa taabu.
Sasa wadau nawaza kipi bora kununua kwa kati ya hivyo vifaa hapo juu,nimeshindwa kufanya maamuzi yoyote bila kupata ushauri wa wataalamu ukizingatia humu tuna watu mahiri kabisa juu ya haya mambo.
Naombeni ushauri chanya na hasi juu ya vifaa hivi pia kwa kuzingatia afya na usalama wa vifaa hivi