Kipi bora hapa wakuu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipi bora hapa wakuu?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Perry, Apr 20, 2012.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Kati ya kufanya kazi serikalin ukalipwa mshahara wa let say 400000 au ufanye katka sekta binafc then ulipwe 700000?naombeni mwongozo wenu,maana ndo nakarbia kumaliza chuo afu kuna dili zinaanza kuninyemelea so natakiwa nifanye maamuzi mapema.
   
 2. Z

  ZeTicha Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maliza chuo kwanza dogo
   
 3. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Kama hapo kwenye 700000 kama kuna security of employment just go for it, otherwise kama ni ndani nje naona rudisha majeshi serikalini
   
Loading...