Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,764
Nimependwa nikaoa ,nikapendwa nikaoa ,sasa wote wananipenda ,nilikuwa na nyumba mbili ,nikauza zote nikanunu moja kubwa ya nafasi ,kwa vile walinipenda niliamini watakuja kukaa pamoja ,kila mmoja karudi kwao hawataki kukaa kwenye nyumba moja ,ila nimewapelekea SMS kipendacho roho hula hata nyama mbichi ,sioni sababu ya wao kuniepuka wakati wananipenda ,mpaka sasa hivi kimya leo ya tatu ,mnafikiri watarudi ? Halafu niliandaa chumba kimoja kwa ajili yetu,yaani nitakuwa nalala nao kwenye chumba kimoja kwa jinsi nilivyoona nawapenda na wao wanavho nipenda. Au walikuwa wananidanganya kama wananipenda ?
Kwani nyie wadada mkoje hivi hamuwezi kukaa nyumba moja chumba kimoja na mume wenu ?
Kwani nyie wadada mkoje hivi hamuwezi kukaa nyumba moja chumba kimoja na mume wenu ?