Kipendacho Moyo Hula Nyama Mbichi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipendacho Moyo Hula Nyama Mbichi

Discussion in 'Jamii Photos' started by Falcon, Oct 2, 2012.

 1. Falcon

  Falcon JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 250
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kupenda.jpg Hizo ndio raha za mapenzi
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Mapenzi yakizidi yanakuwa ndani yake ni karaha sio mapenzi tena bali ni ujinga fulani wa mapenzi mkuu Falcon
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. N

  Nonda JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  MziziMkavu

  Na dada (shem) yetu anapozisafisha/ anapofua kufuli (chupi/nguo) zako huwa ni karaha pia au ujinga wa mapenzi?
  Au huwa mapenzi yamezidi? Yamezidi kipimo au yamezidi chumvi?
   
 4. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwenda chumvini na kufua kufuli bora nini?
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Haki yake kunifulia mimi si ndio ninaye tafuta pesa ili apendeze?mkuu Nonda sasa wewe ufuwe chupi ya dada yangu yeye dada yangu utamruhusu akatafute pesa?wewe ukae nyumbani kazi yako kupika na kufua chupi? mkuu kila binadamu ana kazi yake mke ana kazi yake ya nyumabni na mume ana kazi yake ya kazini.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo kwako mwanamke position yake ni kufua na kupika? What if na yeye anatafuta na analeta home? Nadhani we live in completely different worlds. Haijawahi wewe kukwama na kukwamuliwa.na.mpenzio?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaaa
   
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Sio kwangu mimi kwa wanaume wote unaweza kumfulia mwanamke nguo

  zake endapo huyo mke wako ni mgonjwa sio mzima sasa wewe dume umfulie mkeo chupi na je mke wako

  atakwenda kufanya kazi offisini? Mwanamme ndio Mtafutaji wa pesa mwanamke ndie mke na ndie anafanya kazi za

  nyumbani mke wangu nitamuwekea wafanyakazi hata akitaka wafanyakazi 2 nitamuwekea sio mimi kumfulia chupi

  sina wakati huo bibie King'asti Samahani kama nitakukwaza.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  zuzu, zuzu
   
 10. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  zezeta...
   
 11. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #11
  Oct 2, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwani ukifua hizo chupi walau mara moja utakufa.
   
 12. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #12
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  huwa anatimiza wajibu wake km mke!
   
 13. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #13
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Gender roles japo zinatofautiana na ni tofauti societies to societies domestic roles km cooking, laundry etc bado ni za mama kiafrika na popote ambapo mfume dume bado upo regardless whether a woman works or not!
   
 14. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #14
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,322
  Likes Received: 1,788
  Trophy Points: 280
  Mzee anafanyia usafi nguo maalumu, tayari kwenda kushiriki gwaride.
   
 15. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #15
  Oct 2, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ndo maana hata kitanda hana, F*la hilo tuu.
   
 16. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #16
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  utazoea itakuwa mara nyingi!!
   
 17. wanakopi

  wanakopi Senior Member

  #17
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 30, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  zuzu kweli
   
 18. wanakopi

  wanakopi Senior Member

  #18
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 30, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  me naona kawaida sana coz mambo yote ni jinsi munavoishi ndan we na mwenza wako kwaupande wangu me sion tatizo kwani nikumfulia sibomoki popote
   
 19. PENDING'ULA

  PENDING'ULA JF-Expert Member

  #19
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 269
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mzee mfuko unaohifadhi sukari hauwezi kuwa sumu! Usishangae kuona huo nao warambwa!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #20
  Oct 3, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,885
  Likes Received: 4,735
  Trophy Points: 280
  Ha aha aha dah nikifikia hatua hiyo bora nife
   
Loading...